Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,140
- 13,215
Nimebahatika kuipita barabara hii, inaonekana ujenzi wake ni wa muda mrefu sana na inajengwa kwa kushangaza maana wanarukaruka vipande hapa lami hapa diversion etc, mbali na kwamba haina economic base kubwa lkn kwisha kwake kutasaidia sana kurahisisha usafiri kati ya kusini na kaskazini na huenda biashara ikaongezeka pia kwa wakazin wa maeneo hayo
kwa sasa ni mateso tu, haiwezekani umbali wa KM 250 TUSAFIRI KWA MASAA 6!!
Mh Plz
kwa sasa ni mateso tu, haiwezekani umbali wa KM 250 TUSAFIRI KWA MASAA 6!!
Mh Plz