Mh. Machemuli wa CHADEMA..

Moony

JF-Expert Member
Apr 16, 2011
1,599
435
Mheshimiwa machemuli mbunge wa CHADEMA- UKEREWE.
Natumai umepona ama unaendelea vema baada ya kuumizwa.

Nia ni kutaka kujua kwa nini umekaa kimya namna hiyo kwani hatusikii operation vua gamba vaa gwanda huko kwenye jimbo lako.

Pia kuna tetesi kuhusu uwajibikaji mbovu wa halmashauri ya wilaya hasa katika swala la malipo. Nia ya CDM ni kuibua uozo nchini kote, je kwako mbona kimya kunani?
 
Highness anaendeleaje?mkuu kasema ukweli you need to be pro active,usiwe kama wabunge wazee waliotokea CCM ambao wanaona aibu kuisema CCM na wako kimya wanapokea posho siku zinakwenda,mfano Kulikoyela Kahigi,pia usiwe kama wale wanojipambanua na CCM kama Shibuda,yuko kimya anaabudu CCM na siku zinakwenda.
 
Back
Top Bottom