instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 11,381
- 14,186
Kusema ukweli kwa sasa kila mtaa Wa mji huu maarufu nchi kila mtu yupo ana nongona kuhusu stendi,barabara, na soko kulikoni mbona havifanyiwi kazi? Nakuomba sana mh na ukawa kwa ujamula kama mlivyofanya miji ya arusha na iringa please tunaomba matatizo haya yafanyiwe kazi vinginevyo jimbo litarudi CCM 2020 kwa hali ya sasa bora CCM mbona walau walijenga baadhi ya barabara na airport nyinyi ukawa hamjafanya kitu.kweli mtakuwa waongo