washa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2007
- 626
- 370
Kwa Mara ya kwanza nimemsikia mh Lusinde akitoa mchango makini sana ndani ya ukumbi wa bunge
Kwa muda mrefu nimekuwa nikimfuatilia Lusinde ambaye ameliwa akitoa michango iliyojaa matusi,kejeli na vijembe kwa wabunge wa upinzani huku wabunge wa ccm wakimshangilia lakini Leo kanifurahisha kwa maelezo yake yaliyojaa ukweli na umakini sana. Huu ni wakati wa mabadiliko,ccm fuateni mfano huu