Mh Lusinde na mchango wake wadhati

washa

JF-Expert Member
Oct 8, 2007
626
370
Kwa Mara ya kwanza nimemsikia mh Lusinde akitoa mchango makini sana ndani ya ukumbi wa bunge
Kwa muda mrefu nimekuwa nikimfuatilia Lusinde ambaye ameliwa akitoa michango iliyojaa matusi,kejeli na vijembe kwa wabunge wa upinzani huku wabunge wa ccm wakimshangilia lakini Leo kanifurahisha kwa maelezo yake yaliyojaa ukweli na umakini sana. Huu ni wakati wa mabadiliko,ccm fuateni mfano huu
 
sema kasema nn?
 
Lusinde hadhaminiki huyo
 
Nikweli kachangia vzr Sana Leo ameongea kwa uchungu mbunge huyu ila akanifurahisha jambo moja alipoonyesha mafanikio yake ya kutoka familia maskin hadi kua mbunge.naibu nae amesupport Inamaana ukiwa maskin hustahili kua mbunge???
 
Kwa Mara ya kwanza nimemsikia mh Lusinde akitoa mchango makini sana ndani ya ukumbi wa bunge
Kwa muda mrefu nimekuwa nikimfuatilia Lusinde ambaye ameliwa akitoa michango iliyojaa matusi,kejeli na vijembe kwa wabunge wa upinzani huku wabunge wa ccm wakimshangilia lakini Leo kanifurahisha kwa maelezo yake yaliyojaa ukweli na umakini sana. Huu ni wakati wa mabadiliko,ccm fuateni mfano huu

Umepost ili uonekane umeost JF kisha ulambe buku 7
 
Ni sawa amechangia vema, ila lusinde na mtu kama nchemba ni hazina iliyooza ndani ya chama cha ccm na taifa kwa ujumla, mtu ukishakosa busara na hekima ni bure tu no way out.
 
Yaleyale ya Wabunge WA CCM,yaani anaisifia serikAli sikivu weeeee. Halafu anaanza kuhadithia kwa uchungu sana hadi machozi yanakaribia kukutoka. Sikia sasa malizia yake...ndio utachoka
 
Kwa Mara ya kwanza nimemsikia mh Lusinde akitoa mchango makini sana ndani ya ukumbi wa bunge
Kwa muda mrefu nimekuwa nikimfuatilia Lusinde ambaye amekuwa akitoa michango iliyojaa matusi,kejeli na vijembe kwa wabunge wa upinzani huku wabunge wa ccm wakimshangilia lakini Leo kanifurahisha kwa maelezo yake yaliyojaa ukweli na umakini sana. Huu ni wakati wa mabadiliko,ccm fuateni mfano huu

Kweli kabisa mkuu. Mimi nilikuwa ndani ya ukumbi wa bunge wakati akiongea. Sikutegemea kama angeongea kwa busara kubwa kiasi kile na kushangiliwa na wabunge wote wa CCM na upinzani wakiongozwa na mchungaji Msigwa. Aliposimamama niliingiwa na hofu kuwa angeongea mambo ya hovyo kama tulivyomzoea. Lakini la ajabu ameongea maswala ya msingi sana tena kwa lugha nzuri sana mpaka nikajiuliza ilikuwaje hapo awali alikuwa anachafua mdomo wake namna ile? Mimi nasema kama ataendelea hivi itakuwa wazi sasa ameacha utoto baada ya kukua. Mh. Lusinde ajue kuwa si lazima uaome sana ili kuwa na busara. Kama kuna mtu amemcounsell Mh. basi nampa asilimia mia. Hongera Lusinde kwa leo endelea hivyo hivyo. Acha matusi na dhihaka za kitoto utakuwa mbunge mzuri sana. Nampongeza pia Mh. Msigwa kwa mchango wake mzuri ambao ulifuatiwa na mchango maridadi wa Kibajaji. LUSINDE USITUKANE TENA WALA USIONGEE KAMA MVUTA BANGI TENA. YALE ULIYOONGEA ALMERU MASHARIKI YANATOSHA KWANI YALIKUDHALILISHA SANA KULIKO ULIVYODHANI KUWA WAPINZANI WAKO WANGEDHALILIKA. NITAKUSHANGAA SANA UKIRUDIA KUONGEA HOVYO TENA!
 
Ni sawa amechangia vema, ila lusinde na mtu kama nchemba ni hazina iliyooza ndani ya chama cha ccm na taifa kwa ujumla, mtu ukishakosa busara na hekima ni bure tu no way out.

Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Mimi nimemshudia kwa macho na masikio. Kwa leo Mh. Lusinde kaongea ki utu uzima na tumpe credits zake. Kwa mwigulu huyo kwakweli mpaka sasa ni hasara kwa taifa hasa kwa elimu aliyo nayo. Lusinde unaweza kumsamehe kwa baadhi ya matusi na utoto alioufanya awali. Lakini Mwigulu anayejidai mchumi daraja la kwanza kwa lugha na vitendo vyake utamsameheje kwa mambo ya kijinga anyoyafanya? Huyo ni mtu aliyepita shuleni na vyuoni lakini hakuelimika na hiyo ni hasara kwa taifa na jamii yake.
 
Kwa Mara ya kwanza nimemsikia mh Lusinde akitoa mchango makini sana ndani ya ukumbi wa bunge
Kwa muda mrefu nimekuwa nikimfuatilia Lusinde ambaye ameliwa akitoa michango iliyojaa matusi,kejeli na vijembe kwa wabunge wa upinzani huku wabunge wa ccm wakimshangilia lakini Leo kanifurahisha kwa maelezo yake yaliyojaa ukweli na umakini sana. Huu ni wakati wa mabadiliko,ccm fuateni mfano huu
Aisee nimekustahi tu. Siku nyingine uandike kinachoeleweka
 
Back
Top Bottom