Mh lukuvi hii guest bubu tumeichoka;manispaa wanakuzalilisha

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,139
Mh lukuvi sisi ni wanatanzania tunaoishi hapa kwenye roundabout cha game
kuna bar iko pembeni ila ndani ya hiyo bar kuna guest ambayo usiku na mchana
inatusumbua watu kwa kupiga kelele za mapenzi mpaka majiran tukaanza kuhisiana vobaya jamani hamna huruma kwa wenzio kumbe ni kelele zinatoka ndani ya hiyo bar wamejiwekea guest ambayo si halali na aina kibali

tuliwah kulalamika wakaja manispaa wakachukua hela zao wakaondoka
sasa wameanza kutupa condom barabarani kama wengine atujui game ilipoo
hili ni aibu kwa watoto wetu
tunaomba msaada kama unaweza fungia hii bar ama kukubali kuachana na hii guest najua na tunaona kuna wana filamu na wakubwa wengi wanakuja wakijifanya kunywa kumbe wanaelekea ****** na kupewa rum husika..hapo muda unakuta meza husika wote wameenda ****** bila kurudi kuuliz jaman kuna choo cha masaa mawili wanakwambia wako kwenye folen

babu kubwa tunaomba ama waondoe hii guest yao ama waongoze vyoo kusiwe na folen hivyo

mh lkuvi sauti hii inatoka kwa baba mama watoto waakaao hapa pembeni na game...tunatumaini na wewe huochukua mlungula kama jiji wanavyokuaibisha

ahasante kwa msaad a wako
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha tupunguze kitchen part, mabint wanafundishwa unyago theoretically sasa wana practice kaaaaaaaaaaaaaaaaaaz kwey kwey
 
Back
Top Bottom