Mh. Lukuvi: Ardhi kwa mwendo huu itakushinda

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
12,357
6,422
Mh. Nasikitika kuwa idara ya ardhi itakushinda.Kweli wizara ya ardhi iliyojaa uchafu hakuna wa kumwajibisha? Wilayani hawa maafisa ardhi maovu yote wanayoyafanya hakuna wa kumwajibisha.

Watu wadogo wamenyanganywa viwanja na mashamba yao na maafisa ardhi wilayani, kweli hujapokea malalamiko hayo? Mh. Litafakari hilo.

It is a pity kuwa umewafimbia macho kama vile hakuna matatizo
 
Back
Top Bottom