Mh Lowassa, sioi alimpenda pamela ama alimtamani?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh Lowassa, sioi alimpenda pamela ama alimtamani??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Mar 31, 2012.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Mar 31, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,132
  Likes Received: 5,571
  Trophy Points: 280
  NIMEWIWA KUULIZA HILI BAADA YA KUSOMA HII KWENYE MWANANCHI

  Aliwananga mahasimu wake wa kisiasa wanaoeneza maneno kwamba amekwenda kumpigia debe Sioi kwa kuwa ni mkwe wake na kusema hakuna dhambi kwa mkwewe huyo kugombea jimbo hilo kwa kuwa anazo sifa… “Hata mkisema ni mkwe wangu, kwani kuna dhambi gani? Alimpenda Pamela sasa nimkatae kwa kuwa mimi ni mwanasiasa?”

  KAMA MZAZI NIMEONA WAKATI MUAFAKA MZEE ANA UHAKIKA GANI SIOI ALIMPENDA MWANAE PAMELA NA SI KUMTAMANI ......JE ANAJUAJE TOFAUTI YA KUPENDA NA KUTAMANI KAMA MKWE

  NAAMINI NDUGU ZANGU MNAOMJUA SIOI MKIMWEKA NA PAMELA MTAJUA NA KUPATA JIBU..NAAMINI KAMA KUMPENDA LABDA PAMELA NDIE ALIEMPENDA SIOI MENGINE TUNASUBIRI SIOI ATUPE MAJIBU YA KWELI
   
 2. vipik2

  vipik2 JF-Expert Member

  #2
  Mar 31, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 1,175
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Na mie najiuliza kulikoni sipati jibu? sura ya Pamela na Sioi ni kama kande ya kienyeji na pilau vile!
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Mar 31, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,132
  Likes Received: 5,571
  Trophy Points: 280
  yaani hata mwehu anaejua mapenzi na anamjua sura ya pamela na sio walahi asingeweza kukaa mbele ya jukwaa la watu na kusema sioi alimpenda pamela..anyway ni kweli binti likuwa msumbufu sana ujanani na pengine mzee aliona sehemu maalumu ya kupunguza matatiz yake kwa kumkabidhi sio lakini bado najiuliza tena sioi alimpenda alimtamani pamela mzee wangu lowassa??
   
 4. by default

  by default JF-Expert Member

  #4
  Mar 31, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  mkuu hapo nani ambae ni kande ya kienyeji na pilau
   
 5. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #5
  Mar 31, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,132
  Likes Received: 5,571
  Trophy Points: 280
  MKUU UNAHISI WEWE NANI KANDE NANI PILAU M NAHISI PILAU PAMELAA AKAWA AMEPIKWA NA KITUNGUU SAUMU KAJAA AKAM.......ni
   
 6. Nchi Kavu

  Nchi Kavu JF-Expert Member

  #6
  Mar 31, 2012
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 3,519
  Likes Received: 1,041
  Trophy Points: 280
  Nyie watu wa ajabu sana. Kutamani ni kuvutiwa. Kwa namna mnavyoongea ni kuwa pamela havutii. Sasa unamtamani vipi mtu ambaye havutii?
   
 7. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #7
  Mar 31, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,762
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  mambo yakuingilia ndoa za watu yanatoka wapi mkuu, walipendana ndo maana wameoana.
   
 8. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #8
  Mar 31, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  naomben picha ya pamela jamani,ibandiken
   
 9. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #9
  Mar 31, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,541
  Likes Received: 424
  Trophy Points: 180
  sean john mwenzako mbona hana hii mambo ya kufatilia watu paka chini ya uvungu ?
   
 10. S

  SI unit JF-Expert Member

  #10
  Mar 31, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 1,938
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Hebu tuwekeeni picha za hao wapendanao kwa pamoja.
  -> Halaf ni hiviii, kama Sioi atashindaaaa (just an assumption) ina maana EL ndo atatatua matatizo ya Wameru ama.. Manake anadhihirisha wazi kwamba atafanya kazi bega kwa bega na mkazabintie which mean dogo Sioi hawezi kazi. Na kama ndo hivyo, "EL ndiye atakua na makucha Meru na si Sioi".
   
 11. Loy MX

  Loy MX JF-Expert Member

  #11
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 26, 2012
  Messages: 1,263
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  jina lake tu ni maana tosha! SIOI ina maanisha Hana mpango wa kuoa
   
 12. by default

  by default JF-Expert Member

  #12
  Mar 31, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  didy tupia hayo masnap tuone wenyewe pilau mara kande loshoro na maniaje mengine arifu
   
 13. Yummy

  Yummy JF-Expert Member

  #13
  Mar 31, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 1,801
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Teh teh teh:tape::tape::coffee:
   
 14. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #14
  Mar 31, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Kumbe kigezo chako ni sura tu?!, nilidhani una sababu nyingine na nadhani unayo: tazama vizuri sura za couples za viongozi walioko madarakani sasa na uulize swali kama unalomuuliza Ngoyai. This has never been great thinking; JF imeingiliwa.
   
 15. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #15
  Mar 31, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Kisha atupie na mafotoo ya kapozi yake, isijekuwa yake ni biliyani vs makande ya kizungu.
   
 16. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #16
  Mar 31, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Ukimwangalia Sioi na kisha ukamtazama Pamela hawa wana ndoa hawaendani kwa kigezo cha mizani wametamaniana ngoja kile walicho tamaniana kitoweke mtaona
   
 17. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #17
  Mar 31, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  Fanya tathimini mwenyewe hapa
   
 18. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #18
  Mar 31, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0

  [​IMG]

  [​IMG]
  Baba mkwe akichukua nchi 2015 huyu jamaa uwaziri wa fedha hakosi
   
 19. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #19
  Mar 31, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Vigezo vya kutamaniana ni vipi?, na kupendana kwa uharisia ni vipi?, nipe mfano wa walipendana na si kuatamaniana.
   
 20. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #20
  Mar 31, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,506
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Hizi siasa za ki-ccm sasa! Wewe Pdiddy unajuaje mwenza wako alikutamani ama anakupenda? Usiusemee moyo baba! Na huwezi kumuuliza mzazi wa mtu kama mkwewe alimpenda ama alimtamani! Achana na gutter politics!
   
Loading...