Mh. Lowassa kutokutambua uwepo wa Msemaji wa CCM Mh. Ole Sendeka kunamjenga au kumbomoa kisiasa?

neene

Member
Feb 1, 2007
48
61
Nimeangalia hotuba aliyoitoa Mh. Lowassa kwenye mazishi ya Mh. William Ole Ntimama na alipokuwa akiwatambulisha watu alioongozana nao, aidha kwa makusudi au bahati mbaya, hakutambua uwepo wa Msemaji wa CCM, Mh. Ole Sendeka.

Kitendo kile kinamjenga au kumbomoa kisiasa?

Mbona wenzetu wa Kenya walikuwepo bila kujali kwamba ni wa chama tawala au upinzani na wote walipata fursa ya kuongea?

Je siasa ni uadui?
 
Huyo Mzee wa Monduli anatofauti na Sultan Maalim Seif.
 
Lowasa ndio alikuwa kiongozi wa msafara? Ol-esendeka na Lowasa walitumwa kumwakilisha nani au kila mtu alienda kwaniaba ya Team yake? Majibu tafadhali.
 
Nimeangalia hotuba aliyoitoa Mh. Lowassa kwenye mazishi ya Mh. William Ole Ntimama na alipokuwa akiwatambulisha watu alioongozana nao, aidha kwa makusudi au bahati mbaya, hakutambua uwepo wa Msemaji wa CCM, Mh. Ole Sendeka.

Kitendo kile kinamjenga au kumbomoa kisiasa?

Mbona wenzetu wa Kenya walikuwepo bila kujali kwamba ni wa chama tawala au upinzani na wote walipata fursa ya kuongea?

Je siasa ni uadui?
Je! Walikuwa wameambatana au kila mtu alienda kivyake?
 
Nimeangalia hotuba aliyoitoa Mh. Lowassa kwenye mazishi ya Mh. William Ole Ntimama na alipokuwa akiwatambulisha watu alioongozana nao, aidha kwa makusudi au bahati mbaya, hakutambua uwepo wa Msemaji wa CCM, Mh. Ole Sendeka.

Kitendo kile kinamjenga au kumbomoa kisiasa?

Mbona wenzetu wa Kenya walikuwepo bila kujali kwamba ni wa chama tawala au upinzani na wote walipata fursa ya kuongea?

Je siasa ni uadui?
Je kwa akili yako lowasa angemtambulisha huyo STD seven ingekuwa aibu duniani,sasa mi nasema kumemjenga ukikataa muulize mumeo akupe jibu sahihi.
 
Nimeangalia hotuba aliyoitoa Mh. Lowassa kwenye mazishi ya Mh. William Ole Ntimama na alipokuwa akiwatambulisha watu alioongozana nao, aidha kwa makusudi au bahati mbaya, hakutambua uwepo wa Msemaji wa CCM, Mh. Ole Sendeka.

Kitendo kile kinamjenga au kumbomoa kisiasa?

Mbona wenzetu wa Kenya walikuwepo bila kujali kwamba ni wa chama tawala au upinzani na wote walipata fursa ya kuongea?

Je siasa ni uadui?
Na wahanga wa tetemeko la ardhi wametambuliwa?! je linatujenga kisiasa au la?! Kumbuka Ole hakuwa sehemu ya msafara wa EL, alikwenda kivyake.
 
Nimeangalia hotuba aliyoitoa Mh. Lowassa kwenye mazishi ya Mh. William Ole Ntimama na alipokuwa akiwatambulisha watu alioongozana nao, aidha kwa makusudi au bahati mbaya, hakutambua uwepo wa Msemaji wa CCM, Mh. Ole Sendeka.

Kitendo kile kinamjenga au kumbomoa kisiasa?

Mbona wenzetu wa Kenya walikuwepo bila kujali kwamba ni wa chama tawala au upinzani na wote walipata fursa ya kuongea?

Je siasa ni uadui?
Nani kakuambia lowasa aliongozana na ole sendeka?kila moja alienda kivyake sasa atamtambulishaje?
 
Nimeangalia hotuba aliyoitoa Mh. Lowassa kwenye mazishi ya Mh. William Ole Ntimama na alipokuwa akiwatambulisha watu alioongozana nao, aidha kwa makusudi au bahati mbaya, hakutambua uwepo wa Msemaji wa CCM, Mh. Ole Sendeka.

Kitendo kile kinamjenga au kumbomoa kisiasa?

Mbona wenzetu wa Kenya walikuwepo bila kujali kwamba ni wa chama tawala au upinzani na wote walipata fursa ya kuongea?

Je siasa ni uadui?
Ole Sendeka hakuongozana na Lowassa kwa hiyo hawezi kutajwa pale
Ole sendeka aliwakilisha chama tawala na kama mmasai halisi na sio kama muhamiaji wa monduli
 
Lowasa ndio alikuwa kiongozi wa msafara? Ol-esendeka na Lowasa walitumwa kumwakilisha nani au kila mtu alienda kwaniaba ya Team yake? Majibu tafadhali.
Lowassa alijipeleka kutafuta kiki kwa UK,anapalilia chuki katika ile dhana ya kuwa Raila ni rafiki wa Magufuli basi nawe UK uwe rafikangu
Ole sendeka amekwenda kuwakilisha chama tawala na ni mmasai hali sio wa kuunga unga
Ushawahi kusikia mmasai anaitwa Ole Lowassa?
 
1474104036519.jpg
 
Back
Top Bottom