Ethos
JF-Expert Member
- Aug 1, 2015
- 2,294
- 2,059
Mimi ni mtumiaji mzuri wa mtandao wa LinkedIn!
Huwa najifunza mambo mbalimbali kuhusu career yangu na pia kuangalia watu wakubwa walipitia wapi na sasa wapo wapi...
Kinachonikera ni pale ninapokuta mtu haja update info zake miaka hata miwili na unajua kabisa hayupo hapo alipo...
Basi Leo nikakutana na yule Rais wa mioyo ya watu... Eti yupo bado CCM na ni mbunge ya Monduli... Eeeh?