Euphransia
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 937
- 778
Kuna mada inazungumzwa humu Juu ya Nani alimleta Chadema Mh.Kipenzi cha Watanzania Lowassa.Nimefanya utafiti mdogo tu nikagundua kuwa Mh.Lowassa aliletwa Chadema Na Viongozi wa CCM wa wakati ule waliokuwa Na Roho mbaya, Chuki, Majungu dhidi ya Mh.Lowassa.Walidiriki hata kusema Uongo ambao mpaka Leo wameshindwa kuuthibisha.Wadiriki mpaka kukiuka Katiba ya CCM mpaka ikamfanya Mzee wetu Kingunge aache Siasa Na kuwa Mwanaharakati.Nadhani jibu limepatikana.