Mh Lowasa Mzima wa Afya na yupo Bungeni leo hii:

Status
Not open for further replies.
hivi mgonjwa anafahamika kwa kumwangalia tu, kama ni kwa kutizima tu basi inawezekana TV yako inaonyesha chenga, mzee anaonekana amechoka and hana raha, na wengine wanasema anatetemeka, ana matatizo ya saikolojia, etc, vipi wewe yote umeyaona kuwa ni uongo?

Rafiki binadamu hawa lao ni kutimiza malengo yao bila kujali nafsi ya mwenzao. Namhurumia sana mzee wa watu laiti angejua ni kwakurudi na kutulia ndipo atafanikiwa asingekuwa anajitutumua hata baada ya spirit yake kufa na manifestation kutokea kwenye physical body! Ninani mwenye upendo wa agape amwambie habari njema ya kuwa kwa bwana kuna huruma na msamaha? Hakuna awezaye kubariki ila bwana naye humdhili huyu na kumwinua yule humtoa masikini kutoka jaani na kumketisha na wafalme. Hahitaji dawa yoyote zaidi ya toba ya kweli itokayo moyoni akikubali na kutii atakula mema ya nchi!
 
  • Thanks
Reactions: bdo
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom