Mh; lowasa atangaza ushindi makuyuni sku mbili kabla

ANC-KWA ZULU NATAL

JF-Expert Member
Jun 5, 2013
325
37
Mheshimiwa Edward lowasa na rais mtarajiwa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amemalza kampen za udiwan katka kata ya makuyuni katka ngome yake kuu ya jimbo la makuyuni na ameanza ziara mjini moshi leo kwa kazi zake za kiofsi na kuacha vijana wakimalizia/wakfunga kampeni hii inaonyesha nguvu kubwa aliyonayo lowasa monduli,arusha na Tanzania kwa ujumla...kweli lowasa ni mtaalam wa siasa za kileleni/kitaifa ....
 
Please MOD do justice to this cra p......put where it deserves most in the dustbin.
 
Mheshimiwa Edward lowasa na rais mtarajiwa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amemalza kampen za udiwan katka kata ya makuyuni katka ngome yake kuu ya jimbo la makuyuni na ameanza ziara mjini moshi leo kwa kazi zake za kiofsi na kuacha vijana wakimalizia/wakfunga kampeni hii inaonyesha nguvu kubwa aliyonayo lowasa monduli,arusha na Tanzania kwa ujumla...kweli lowasa ni mtaalam wa siasa za kileleni/kitaifa ....

Nyepesi nyepesi nlizonazo ni kuwa kwenye harambee ya ya leo ametupia 450 m
 
mheshimiwa edward lowasa na rais mtarajiwa wa jamhuri ya muungano wa tanzania amemalza kampen za udiwan katka kata ya makuyuni katka ngome yake kuu ya jimbo la monduli ktk kata ya makuyuni na ameanza ziara mjini moshi leo kwa kazi zake za kiofsi na kuacha vijana wakimalizia/wakfunga kampeni hii inaonyesha nguvu kubwa aliyonayo lowasa monduli,arusha na tanzania kwa ujumla...kweli lowasa ni mtaalam wa siasa za kileleni/kitaifa ....

huwezi kuzuia upepo ata jk anakiri hili ni jembe
 
quote_icon.png
By ANC-KWA ZULU NATAL
Mheshimiwa Edward lowasa na rais mtarajiwa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amemalza kampen za udiwan katka kata ya makuyuni katka ngome yake kuu ya jimbo la Monduli kata ya makuyuni na ameanza ziara mjini moshi leo kwa kazi zake za kiofsi na kuacha vijana wakimalizia/wakfunga kampeni hii inaonyesha nguvu kubwa aliyonayo lowasa monduli,arusha na Tanzania kwa ujumla...kweli lowasa ni mtaalam wa siasa za kileleni/kitaifa ....

Kwa kweli lowasa anatisha kama njaa....nitampgia kura yangu lowasa,nitalinda kura zake, nitahudhuria sherehe za kuapishwa kwake na stak anpe cheo chochote...namkubali kwa sababu ni mtendaji strong na anajua kutenganisha familia na serkali na yupo strctly na kusmamia anachokiamin ata tmuatmua ya kna mwakyembe walkuwa wanajarbu kuiga style ya lowasa ya utendaji kazi lakin wameshndwa we lov u lowasa wewe ni mchapa kazi dhabiti
 
Lowassa ana kazi gani za kiofisi mpaka awe busy na hizo ziara?
Aache mbwembwe, Arumeru Mashariki alifanya kama hivi na bado CCM ikashindwa kwa aibu.
Itakuwa anamkwepa Nape na wale mataahira wa Mwigulu wanaokubali kuanikwa jukwaani kama vinyago maana wale hawajui siasa wanajua fujo na matusi hivyo ameona bora ajiepushe na aibu za ajabu ajabu

Lowassa asubiri kuja kuweka matanga baada ya jumapili, maana suala la kushindwa kwa CCM kata ya Makuyuni liko pale pale.

CHADEMA yatosha!!!
 
Nyepesi nyepesi nlizonazo ni kuwa kwenye harambee ya ya leo ametupia 450 m
hahahahahaha dk.phone umefanya sku yangu swaaaaaaaaaaaaaaaaaaf ngoja nifunge ofsi nikapate ktu bardiiiiiiiii
 
Sread uanzishe wewe,post umejaza wewe haya tunakuachia uwanja
 
quote_icon.png

Kwa kweli lowasa anatisha kama njaa....nitampgia kura yangu lowasa,nitalinda kura zake, nitahudhuria sherehe za kuapishwa kwake na stak anpe cheo chochote...namkubali kwa sababu ni mtendaji strong na anajua kutenganisha familia na serkali na yupo strctly na kusmamia anachokiamin ata tmuatmua ya kna mwakyembe walkuwa wanajarbu kuiga style ya lowasa ya utendaji kazi lakin wameshndwa we lov u lowasa wewe ni mchapa kazi dhabiti

Buku 7 mna mbwembwe! Siwalaumu mnafanya hivi kwa sababu ya kusaka tonge
 
mngekuwa na uhakika wa ushindi mngenunua kadi za kupiga kura na kutoa rushwa? leo mh. Nasari kawafuma live wakirekodi majina na namba za kadi za wapiga kura.
 
Sijui Watanzania nani amewaroga aisee! Yaani mtu aliyefukuzwa uwaziri mkuu kwa ufisadi wa Richmond bado anashabikiwa awe raisi mtarajiwa. Nyie hamjifunzi jinsi Julius Ngalema yule aliyesema we will kill for Zuma alipoona alichemsha kufanya kampeni kwa ajili ya Zuma
 
Mheshimiwa Edward lowasa na rais mtarajiwa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amemalza kampen za udiwan katka kata ya makuyuni katka ngome yake kuu ya jimbo la makuyuni na ameanza ziara mjini moshi leo kwa kazi zake za kiofsi na kuacha vijana wakimalizia/wakfunga kampeni hii inaonyesha nguvu kubwa aliyonayo lowasa monduli,arusha na Tanzania kwa ujumla...kweli lowasa ni mtaalam wa siasa za kileleni/kitaifa ....

ukoo wa panya.....
 
Mtafanya Lowasa asiende Bungeni jumatatu kwa aibu atakayopata. Hakika jumapili ni pigo takatifu kwa CCM na ndo mwanzo wa mazishi yake
 
Buku 7 mna mbwembwe! Siwalaumu mnafanya hivi kwa sababu ya kusaka tonge

Kaka ur wrng mm si kama hao vijana wa apo lumumba wa nape naweza kukuajr wewe na ukoo wako 20yrs...lowasa anatsha ndio ukweli kujiuzulu uwazr mkuu zlkuwa na ftna za kna sta za kukosa uwazr mkuu alioaidiwa na kikwete bdaye akaona hafai na membe aliyeaidiwa uwazr akapewa unaibu wazr nishat....kizur chajiuza lowasa ni jembe NGUMU KUMESA BT MESA HVYOVYO HEROO
 
DESHMO Buku 7 mna mbwembwe! Siwalaumu mnafanya hivi kwa sababu ya kusaka tonge

Kaka ur wrng mm si kama hao vijana wa apo lumumba wa nape naweza kukuajr wewe na ukoo wako 20yrs...lowasa anatsha ndio ukweli kujiuzulu uwazr mkuu zlkuwa na ftna za kna sta za kukosa uwazr mkuu alioaidiwa na kikwete bdaye akaona hafai na membe aliyeaidiwa uwazr akapewa unaibu wazr nishat....kizur chajiuza lowasa ni jembe NGUMU KUMESA BT MESA HVYOVYO HEROO
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom