Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,735
kwa mjibu wa taarifa ya habari kupitia tbc taifa..wamesema magari mawili yamevamiwa na watu wa chadema na tundu lisu nae anadai amevamiwa na watu wa chadema..sasa mimi najiuliza tunajua ukweli ni kwamba ccm ndiyo waliowavamia chadema hotelini na wakatumia bastola zao kupiga risasi hewani lakini kwa uongo wa tbc wameamua kuweka chadema badala ya ccm mpaka wanaksea eti Tindu lisu anae kavamiwa na chadema