Mh. Lisu nae kavamiwa na vijana wa CHADEMA?

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,735
kwa mjibu wa taarifa ya habari kupitia tbc taifa..wamesema magari mawili yamevamiwa na watu wa chadema na tundu lisu nae anadai amevamiwa na watu wa chadema..sasa mimi najiuliza tunajua ukweli ni kwamba ccm ndiyo waliowavamia chadema hotelini na wakatumia bastola zao kupiga risasi hewani lakini kwa uongo wa tbc wameamua kuweka chadema badala ya ccm mpaka wanaksea eti Tindu lisu anae kavamiwa na chadema
 
tukijitwalia uhuru wetu, mkurugenzi tbc1 kizimbani, na cdm ole wenu mje kupumbazwa na ma-reconciliation!
 
Kwani hujawahi kuona maize anajiibia mwenyewe? Au mtu katoa hela mfuko wa mbele na kuweka wa nyuma halafu anadai kaibiwa? Ndio aibu ya kuwa too bias
 
kwa mjibu wa taarifa ya habari kupitia tbc taifa..wamesema magari mawili yamevamiwa na watu wa chadema na tundu lisu nae anadai amevamiwa na watu wa chadema..sasa mimi najiuliza tunajua ukweli ni kwamba ccm ndiyo waliowavamia chadema hotelini na wakatumia bastola zao kupiga risasi hewani lakini kwa uongo wa tbc wameamua kuweka chadema badala ya ccm mpaka wanaksea eti Tindu lisu anae kavamiwa na chadema

TBC taifa wamekosea kutanganza habari ni vijana wa Chadema wamevamiwa usiku wa kuamkia leo na watu wasiojulikana ktk hotel. Source TBC1
 
Mimi nimefutilia suala hili kuwa usiku wa kuamkia leo magari yaliyokuwa yamepaki nje ya hotel waliyolala CDM ilivamiwa na watu wasiojulikana na kutaka kuchomwa moto lakini walinzi walifanikiwa kudhibiti tatizo hilo na kumkamata mtu mmoja aliyekuwa anamiliki silaha. Alipelekwa polisi na kuhojiwa lakini baadae aliachiwa.
Uchaguzi huu unaweza kuwa ni uchaguzi mgumu kuliko yote iliyowahi kujiri.
 
Tundu Lisu avamiwe na vijana wa chadema?!?!
Mbona hai-make sense. Nadhani huo utakuwa uongo wa mwaka.
 
Kwa mtu aliyeangalia TBC1 jioni hii na kuona picha ya gari ya Mh. Ester Bulaya haitaji kuwa na PhD ya mambo ya forensic kujua kwamba matundu kwenye kioo cha nyuma cha gari ya Ester Bulaya anayodai kuwa yanatokana na risasi za CHADEMA yana kasoro. Kama ni rasasi ile 'impact' ingeonekana pembeni kwa kuwa na michirizi kidogo. lakini nilivyoona mpasuko wa kioo unaelekea kama umesababishwa na kugongwa na kitu kizito kishicho na ncha kama jiwe na pia inaelekea aliyefanya hivyo alikuwa alikuwa karibu kabisa na kioo.

Ningefurahi kama CHADEMA wangeleta mtaalam (huru) akafanya uchunguzi maana nahisi Ester Bulaya angeaibika kimoja. Mtoto mdogo kama Ester Bulaya kaingiaje kwenye hizi siasa uchwara? Aibu.
 
mzee wa rula, nazungumzia tbc taifa yaani unge wasikiliza waliyosoma hiyo taarifa ungecheka utadhani alikuwa kawekewa bastola kama ile Rage..
 
Guys, what's so special with Igunga, the poorest constituency in Tabora?
I think magambas are at their best or rather trying to win RA back in their sponsorship!
MS alishawaonya kwamba wanatumia nguvu nyingi kuhujumu CDM bila sababu yoyote. Shauri yenu magamba.
 
Tuwe na subira, huwa CHADEMA hawakurupuki na wala hawana vibaraka wa kuwabeba! si mnaona ya Bi Fatuma Kimario haya kumbe ni Mkatoliki, na kuhusu hio habari ya TBC sio kwamba wamekosea it was aimed and meant to be so ili watu wasielewe na baadhi tuseme ndio hivyo lakni wengine wakiaminishwa kuwa CHADEMA ndio wamefanya vurugu, time will tell
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom