Mh. Lissu, jaji haondolewi kwa malalamiko bungeni au katika majukwaa ya kisiasa

tuseme ukweli wote, lisu ni mwanasiasa mzuri sana, na anafaa kuwa kiongozi na mwanachadema, lakini si mwanasheria. lisu hajui sheria kabisa, nafikiri si kosa lake ni kwasababu huwa hasomi sheria, anakosa muda wa kusoma sheria sana, muda huo hana ndio maana hata watoto wadogo kabisa wanamchachafya mahakamani....kwa wale ambao walishawahi kupambana naye mahakamani watajua hili....hata hivyo nampongeza kwa kuwa mwanasiasa mzuri, ila sheria kidogo ameweka pembeni. yuko empty na huwa ana argue kisiasa tu na nadharia....
Majungu haya mpelekee hawara yako mkiwa kitandani mjinga wewe!
 
Kwanza kabisa, sina shaka kwamba mtoa mada ni jaji. Pili, kama huo ndiyo uwezo wa majaji wetu katika kutoa hoja huo ni uthibitisho tosha kuwa alichosema Tundu Lissu kuhusu uwezo wa majaji ni ukweli mtupu. Haiwezekani jaji utoe utetezi ambao hata asiyesoma sheria anaweza kuutilia mashaka. Unaandika maelezo marefu pamoja na nukuu kutoka katika katiba ya Jamhuri ya bila kuangalia nukuu hiyo itasaidia kujenga hoja gani.

Kwa kiwango hicho cha kufikiri cha mtoa mada tutarajie yafuatayo:
1. Tutaendelee kuingia mikataba mibovu.
2. Polisi waendelee kuua watu kwa kisingizio cha kulinda amani.
3. Mambo mengi yatazuiwa kuzungumzwa kwa kisingizio cha kwamba jambo hilo lipo mahakamani.
4. Maadili ya mahakimu yatasimamiwa na wakuu wa wilaya na mikoa.
nk
 
Back
Top Bottom