Mh. Lema: Omba mwongozo wa Spika-Rais akilidanganya Taifa (wana-CCM inakuwaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh. Lema: Omba mwongozo wa Spika-Rais akilidanganya Taifa (wana-CCM inakuwaje?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mutakyamirwa, Mar 4, 2011.

 1. M

  Mutakyamirwa JF-Expert Member

  #1
  Mar 4, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 4,873
  Likes Received: 334
  Trophy Points: 180
  Wakati huu siyo waziri Mkuu pekee bali hata Rais amelidanganya Taifa (na wana-CCM wenzake)

  Hii ni kwasababu zifuatazo:-

  1) Rais alimjua mmiliki wa DOWANs ila akwambia wana-CCM wenzake huko Dodoma kuwa hamjui mmiliki wa DOWANs. Hata kama hakumjua na vyombo vya usalama havikujua? Kama ni ndiyo-Basi awajibishwe

  2) Najua ni vigumu bunge letu kumwajibisha Rais. Hii ni kwasabu ya utitili wa wa wabunge wa CCM wanaojifanya hawaoni uchafu au wa wao ni wachafu pia-Ndio ni wachafu kwa sababu utunga sheria chafu ambazo ulinda maslai yao-Kumbuka sheria ya uchaguzi 2010 na TAKUKURU

  3) Rais hawajibiki. Mawaziri wake (hasa waziri wani-shati na madin) na yeye mwenyewe hatuoni wakiwajika hipasavyo. Wametunganya kuhusu DOWANs. Kumbuka maelekezo ya pinda bunge la mwaka jana kuhusu 'RICHIMDI'. Hosea alipashwa kuwajibishwalakini bado youmo tu...

  4) Ni wa-udiini. Anaukemea udini lakini hakiuendekeza. Hivi tunaweza kijiuliza kwanini Rais hateui wakuu wa mikoa baada ya uchaguzi. Kwanini Mkoa wa Dar uendeleee kuwa na kaimu. Rais anajua kuwa ameisha panga safu ya wakuu wa mikoa na wilay ki-udini na hivyo hana haja ya kutengua watu hao. Hata kuendelea kukaimu kwa Dar kwake sawa tu so long as yupo anayetaka awepo.

  Soln:- Kama spika hawezi kutoa mwongozo, basi haya yafuatoayo yafanywe:

  1) Kuendeleza maandamano 'mpaka kieleweke'

  2) Kama na. 1 above haitoshi wachache wanaoona uchafu huu wawasaidie waliowengi kufanya yaliyo sahihi. Hii inawezekana kwa njia mbili: a) Kile kinachoweza kuelezwa na wachafu hawa waliowengi kuwa ni 'makundi madogo madogo ya uasi' haya 'makundi madogo madogo ya uasi' yatangaze rasmi malengo yao ya uasi na b) hakuna uchaguzi mkuu mwaka 2015 bila katiba mpya. Itakuwa haina maana kuingia ktk uchaguzi huo kama matokeo ya uchaguzi yataendelea kutangazwa na wateule wa Rais.

  Hivyo ndivyo nionavyo mimi. Tusaidiane mawazo wana JF.
   
 2. j

  jerry monny Member

  #2
  Mar 4, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 94
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  inawezekana vipi gari lipo uwani kwako alafu wanao wanakuuliza baba gari la nani unasena hujui.nani anaepaswa kujua?haini ingii akilini mkwere aseme hamjui mmiliki wa dowans,inamaana na uwepo wa dowans hajui pia.sasa anataka kumlipa nani?kweli wadanganyika tumeishiwa kilakitu.
   
 3. Nungunungu

  Nungunungu JF-Expert Member

  #3
  Mar 4, 2011
  Joined: Feb 13, 2007
  Messages: 312
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mod, anzisheni jukwaa la machizi.
   
Loading...