Mh LEMA na HALIMA MDEE wabunge wa Arusha na Kawe kama mashahidi wa Uganda

ebaeban

JF-Expert Member
Jan 15, 2012
2,205
2,690
Wamekubali kutumikia adhabu yao ya kutohudhuria vikao vya bunge kadhaa na ili hali adhabu kama hiyo japo kuwa tofauti kidogo ingemkumba CAG, nawalinganisha na mashahidi wa Uganda ambao walikubali kwa hiyari kabisa kuchomwa moto na Kabaka Mwanga kwa sababu ya kukataa kuikana dini ya kikristo.

Wametetea msimamo wao ambao umepelekea wakose mahela mengiiii, hakisa mungu yupo atawalipa. Malipo ni hapa hapa duniani.
 
Uzuri haya yote yanapita ila historia haifutiki. Tanzania iliwahi kuwa na mtawalawa aliengia kwa mgongo wa demokrasia 2015,-......
Mtawala huyo aliongoza nchi kwa misingi ya kibaguzi, uchama, ukanda, kiburi na alipenda sana sifa binafsi taifa baadae.
 
Back
Top Bottom