Mh. Lema - Mawaziri hawapo bungeni jioni

Lakini mi nadhani watanzania ndio mizigo.....Ingekuw nchi za watu wangekuwa waliishachukua hatua stahiki kwa pinda muda mrefu kabisa
 
Tumefika hapa kwa sababu ya uzembe wa bunge, upuuzi wa ccm na udhaifu wa rais kikwete, by mnyika jj!
 
Binafsi sioni upenyo wa mawaziri hawa kupona;hawastahili kuendelea na nyadhifa zao, na watakuwa na busara sana iwapo wataandika barua za kujiuzulu mara moja;ni muhimu wakaondoka kabla ya bunge kumalizika kesho;

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Kinachoendelea bungeni ni maigizo tu ya
CCM kwa krosi za kupasiwa wapinzani kwani ni
planned strategy ya kuingiza watu fulani
kwenye baraza la mawaziri akiwemo Migiro.
Kikwete hakwenda Marekani kwa dharura na
pia tujiulize kwa nini kila sekeseke za bungeni
zikitokea Kikwete anakuwa nje? Is it a merely
coincidence??! Watanzania tuamke na kukataa
upumbavu wa kisanii na kizandiki!
 
Back
Top Bottom