Mh. Lema inakuwaje Meya umualike awe mgeni rasmi?

Ni kweli umeweka source lakini bado kuna shaka, hasa ukizingatia credibility ya Mleta habari!

Mkuu umenena vyema. Katika nyanja ya diffusion and adoption of innovation, credibility ya mtoa habari (new ideas/products) uwa ina nafasi kubwa sana katika maamuzi.

Hivyo, pengine hii habari ina ukweli au lah. Lakini kwa vile mtoa habari anajulikana kwa mambo yake ya mlengo husioeleweka, basi kukubalika kwa habari aliyoleta inakua shida.
 
Unajua kwanini ulinyimwa Avatar?
Unajua kwanini ulinyimwa Signature?
Halafu unaendelea kuleta habari kiudaku! kweli we nyumbu aisee!

Failed, na ww eti ndani ya familia yenu ndio mwenye akili. Hiyo familia ni ya vilaza tupu. Jibu hoja

Uliangalia ITV ya kwenye kibuyu au?

Maandiko yanasema, wana macho lakini hawaoni, wana masikio lakini hawasikii na nyoyo lakini hawanyenyekei , basi hao ni kama wanyama na ni madhalili zaidi ya wanyama, ww huwezi kukosa kwenye hili group. Rudia kusoma , sijasema ITV nimesema RADIO ONE HABARI

Mkuu umenena vyema. Katika nyanja ya diffusion and adoption of innovation, credibility ya mtoa habari (new ideas/products) uwa ina nafasi kubwa sana katika maamuzi.

Hivyo, pengine hii habari ina ukweli au lah. Lakini kwa vile mtoa habari anajulikana kwa mambo yake ya mlengo husioeleweka, basi kukubalika kwa habari aliyoleta inakua shida.

JF ni home of GT, kwa maana hiyo basi ulitakiwa useme hujui kwani habari yenyewe hukuisikia. Nimeweka source, thibitisha kwa kwenda kwenye source km sio habari sahihi

Mkuu wangu ukimfuatilia Lema na siasa zake za kitoto mwisho wa siku utaonekana mjinga.

Nilisema na nitaendela kusema Meya wa Arusha au sehemu nyingine ya JMT anatambuliwa na sheria pamoja na kanuni tulizojiwekea.Meya wa Arusha haitaji kutambuliwa na Mheshimiwa Lema kwakuwa ni mbunge wa Arusha suala hili halihitaji utumie akili nyingi.

Sheria iko wazi iwapo mtu/mwanasiasa/madiwani/chama cha siasa hakikuridhika na utaratibu wa uchaguzi wa Meya atatakiwa kupinga mahakamani ndani ya siku 30.Badala ya kufuata utaratibu wa mahakama ukabuniwa utaratibu wa maandamano ambayo mpaka leo hayajazaa matunda yoyote bado G Lyimo ni Meya wa Arusha na ataendela na wadhifa wake mpaka mwaka 2015 !.

Mashabiki wa CDM niliwaambia wakanikatalia leo ukigusia suala la Meya wanaweweseka.
sasa hapa hoja ni meya kuwa feki au ni utoto wa lema bora mtoto mwenye akili kuliko wazee wasiokuwa na akili walio ccm
 
lema ana akili sana kuliko watu wengi sana nchi hii na kuliko watu wengi sana wapenda fedha
 
Ukijilinganisha na ww, ni kweli ana akili, ila jamaa ni kilaza ile mbaya. Shule yenyewe F6 unategemea nn?

Form 6 ni elimu kubwa sana, mimi ni form 4 na am very proud of it! Nimeelimika vya kutosha kabisa zaidi ya hata wenye Ma PHD. kwangu makaratasi sio issue namvalue mtu kutokana na up stairs kwake kukoje.
 
Huu ni uzushi na uongo,mfuko haujafanya hafla na watoto waishio kwenye mazingira hatarishi,leo wala siku yoyote,Mh Lema yupo Dodoma Bungeni.
Ngongo,swala la umeya wa Arusha,halipingwi na Mh Lema kama Mbunge wa Arusha mjini,bali wananchi wote wa Arusha,wapenda haki na ukweli,kwa kuwa wewe ni mchumia tumbo huwezi kuelewa,bali unaweka tafisiri unayoitaka wewe
Arusha haina Meya,na umma wa Arusha unatambua hivyo,wewe endelea kubeza kama kawaida yako,ila ipo siku utakuja kugundua kuwa ulikuwa unabisha usichokijua
 
Sasa Lema ana up stairs nzuri kweli? Labda kwenu ambao mna akili Kama zake, wenye akili zaidi yake tunamuona mchicha tu. Mtu mwenyewe jambazi.
 
Mkuu Nanyaro E,

Mimi ni mwaArusha mbona simpingi.Askofu Thomas Laizer na Askofu wa Catholic jina nimelisahau mbona wanamkubali.Rekebisha sentesi yako si wananchi wote wa Arusha wanaompinga Meya.Usisahau wapo waliomchagua
!.

Huu ni uzushi na uongo,mfuko haujafanya hafla na watoto waishio kwenye mazingira hatarishi,leo wala siku yoyote,Mh Lema yupo Dodoma Bungeni.
Ngongo,swala la umeya wa Arusha,halipingwi na Mh Lema kama Mbunge wa Arusha mjini,bali wananchi wote wa Arusha,wapenda haki na ukweli,kwa kuwa wewe ni mchumia tumbo huwezi kuelewa,bali unaweka tafisiri unayoitaka wewe
Arusha haina Meya,na umma wa Arusha unatambua hivyo,wewe endelea kubeza kama kawaida yako,ila ipo siku utakuja kugundua kuwa ulikuwa unabisha usichokijua
 
Huu ni uzushi na uongo,mfuko haujafanya hafla na watoto waishio kwenye mazingira hatarishi,leo wala siku yoyote,Mh Lema yupo Dodoma Bungeni.
Ngongo,swala la umeya wa Arusha,halipingwi na Mh Lema kama Mbunge wa Arusha mjini,bali wananchi wote wa Arusha,wapenda haki na ukweli,kwa kuwa wewe ni mchumia tumbo huwezi kuelewa,bali unaweka tafisiri unayoitaka wewe
Arusha haina Meya,na umma wa Arusha unatambua hivyo,wewe endelea kubeza kama kawaida yako,ila ipo siku utakuja kugundua kuwa ulikuwa unabisha usichokijua

Nenda RADIO ONE kakanushe sio humu JF. Acheni kujitetea kwa kitu ambacho kipo public

Maandiko yanasema, wana macho lakini hawaoni, wana masikio lakini hawasikii na nyoyo lakini hawanyenyekei , basi hao ni kama wanyama na ni madhalili zaidi ya wanyama, ww huwezi kukosa kwenye hili group. Rudia kusoma , sijasema ITV nimesema RADIO ONE HABARI

Siyo kila asemaye bwana Yesu asifiwe ni mtumishi au anamcha Mungu bali ni anaficha maovu yake sasa wewe usinukuu maandiko ya Bibilia kama gazeti la mtanzania wakati wewe ni mwovu napia unaongea uongo halafu wewe mwenyewe unaandika maandiko ya Bibilia kwa kuandika uongo mwogope Mungu kwani unacho andika juu ya Lema ni uongo alafu unanukuu maandiko bila aibu kuwa na hofu ya Mungu
 
Nenda RADIO ONE kakanushe sio humu JF. Acheni kujitetea kwa kitu ambacho kipo public

Kwa hiyo wewe ulipo leta hapa jf ulitaka tukuunge mkono uongo acha upimbi huwezi kutulazimisha tukuunge uongo wakati ni uongo mtupu ***** wewe usitulazimishe kuunga ujinga wako wakuunge akina ngongo na ms na ff sema rejeo sikumwona akichangia hii mada
 
Hakuna anae kulazimisha , kwanza huna mchango wa maana humu JF zaidi ya upupu. Post zenyewe unazo 370, na wala hatuhitaji mchango wako, jitoe JF.

Sasa Lema ana up stairs nzuri kweli? Labda kwenu ambao mna akili Kama zake, wenye akili zaidi yake tunamuona mchicha tu. Mtu mwenyewe jambazi.

Mlisha sema toka kipindi cha kampeni ni tapeli mvuta bangi jambazi tukasema huyu ndiye anatufaa kuwa Mbunge wa Arusha mjini tunajua ni jambazi lakini anatufaa sisi wana Arusha **** wewe hata ukimwita mchicha hatushangai yani Lema ametukanwa sana amezalilishwa sana lakini Mungu kasimama naye hakika Mungu ni mtetezi wa LEMA
 
Hakuna anae kulazimisha , kwanza huna mchango wa maana humu JF zaidi ya upupu. Post zenyewe unazo 370, na wala hatuhitaji mchango wako, jitoe JF.

Angalia wewe ulivyo kuwa mjinga mimi posti zangu lazima iwe kidogo kwani siwezi andika kila siku ujinga kama wewe unavyo andika siasa za majitaka na upupu ninakazi za kufanya siyo kila saa unakaa kwenye kompyuta kuandika ujinga na kumfuatilia nani kaandika posti nyingi kweli wewe ni mjinga sana tena unahitaji ukombozi wa fikra
 
Kumbe humu jf iliuwe unatoa mchango unatakiwa uwe unaandika ujinga kama wewe na ngongo na rejeo ms
 
Angalia wewe ulivyo kuwa mjinga mimi posti zangu lazima iwe kidogo kwani siwezi andika kila siku ujinga kama wewe unavyo andika siasa za majitaka na upupu ninakazi za kufanya siyo kila saa unakaa kwenye kompyuta kuandika ujinga na kumfuatilia nani kaandika posti nyingi kweli wewe ni mjinga sana tena unahitaji ukombozi wa fikra

Kama una post kwa msimu na unaingia kwa msimu humu JF ina maana umepitwa na wakati. Unatakiwa kila siku upite humu JF upate habari, ndio maana nasema jitoe hutusaidiii .

Back
Top Bottom