MH Lema aambiwa KESI HII LAZIMA IKUTIE KIDOLE; Zuberi Mwombeji OCD

Unajua maana ya banguo bongo hapo hayapangiki ati?? ushatiwa kidole wewe?? kamanda keshaambi mwaka huu wake ......... sipati picha magazeti baada ya hukumu lema akishindwa yatasomeka hivi ........ LEMA HATIMAYE ATIWA KIDOLE..... JIDOLE LA MUINGIA LEMA..... Ule utabiri wa Zuberi Mwombeji watimia LEMA ATIWA KIDOLE..... LEMA AVUMILIA KIDOLE.... na jinsi waandishi walivyo hiyo itakuwa kiboko. Lema chukua hatua mapema

Hili inawezekana sana likatokea, kama sio makosa Zuberi kutamka hivyo kutakuwa na ubaya gani waandishi kusema hivyo? Tanzania inaenda kubaya sana, kila mtu ana uhuru sio wa kutoa maoni bali kila mtu ana uhuru wa kutukana sasa hivi. Huwezi kuamini tumefika mahali ambapo viongozi wakubwa tuliowategemea wawe vioo vya jamii wanatukana tena hadharani hadi watoto wadogo wanashtuka. Sasa hii ni Polisi wanatukana, kinachoumiza ni kwamba haya yote yanaelekea kuwa mambo ya kawaida kabisa, nakumbuka Mahita naye alikuwa na matusi sana na yalimpandisha cheo. Nadhani Zuberi analenga kupandishwa cheo pia, huu sio wakati wa Mahita... nadhani matokeo yake kwa Mkoa wa Arusha atayaona siku si nyingi sana.
 
Kuna mtu anaitwa Mkandara kuna jukwaa kule Sheikh Mohamed Said anamwaga historia, baada ya huyu Mkandara kuona hoja zake zinapanguliwa na hana zaidi, akaamuwa kututusi wote tunaopingana na hoja za kumpinga Sheikh Mohamed Said, akatuambia wote tunatiwa vidole vya macho na Mohamed Said. Kwa kuwa tunaelewa alikusudua nini na sisi tukamuuliza "vidole tutiwe sisi wewe vukuumie nini?" Akasema yeye havimuumi, tukamwambia Jee, unaham navyo na wewe hivyo vidole? Hajajibu, mwishowe tukavisifia vidole vya Mohamed Said kwa kukandamiza vizuri kutuletea Historia iliyofichwa.

Na hapa huyu aliesema Lema kesi lazima "imtie kidole" hajakosea labda tu ame "summarize". Ni utamu wa lugha ambao si mzuri kimantiki unaashiria kutusi zaidi ya kuonya au kufundisha.

Kiswahili kizuri na huwa kina ladha yake kikitumiwa vizuri.

Hivi na nyie hamkandamizi kwa vidole kuleta hizi mada humu?

Wewe Nyalubamba huwa unaibuka kwenye ujinga tu issue za maana huwa unapotea you are joke just like Nape na CCM yenu .
 
Mods hii thread iunganishwe na thread ya tamko la Lema

Thread ya ya Tamko la lema ina mambo mengi wewe unavyema kuambia mbunge wako atatiwa kidole ??? hapana sasa subiri uone challii wa ARA watajibu vipi..............maandamano ya kukataa lema asitiwe kidole na kesi....mmmm napita mie nisije pigwa ban bure kwa mie hapa mgeni
 
Mods hii thread iunganishwe na thread ya tamko la Lema

No.., uzito wa thread hii ni tofauti na tamko la Lema na thread hii imeanzishwa na watu ambao lengo linaeleka kuwa tofauti na mwelekeo wa thread. Binafsi ningependa kuona hii thread iki-backfire na kuwaathiri walioianzisha maana tungependa OCD Zuberi ashitakiwe kimsingi kabisa kwa kutukana. Thread ya Lema analalamikia uonevu wa Askari wetu na siasa kutumika kwa sehemu kubwa na polisi wetu katika maamuzi badala ya ufuatiliaji wa sheria, thread hii inaonyesha jinsi OCD Zuberu akiwa kama Mkubwa wa Usalama alivyo mahiri wa kutukana wananchi wa Taifa hili. Tunataka kuona Zuberi ana nguvu ipi mbele ya umma wa watu wa Arusha.
 
Sio tusi jamani kwakuwa hata yeye zuberi mwenyewe keshatiwa jidole na watu wa arusha maana hawaishi kumnyooshea kili apitapo lo!!
 
kimsingi hawa watu hawajui sheria iko wapi ile kesi ya muro ambayo kova kwa mara ya kwanza alitumia penal code kuhukumu
 
JF kweli raha. Haya bi FaizaFoxy na leo utatiwa vidole weye, maana umesema waona raha!!
 
Hivi huyu Mchaga 25 ndio yuleyule Mwita 25?

mh!wewe mwita na mchaga wapi na wp?naona ameamua tu kuchukua ile 25 kwa kuwa ni maarufu.Then kama huyo ocd kasema hivyo ana lake jambo.hiyo siyo lugha ya kiongozi,tena anayemwambia ni mweshimiwa?!.
 
Mtasubiria sana kesi lakini hakika Mungu yupo upande wa Lema tunajua kwamba mnamchukia sana Lema lakini ipo siku mtampigia magoti wabaya wake wote kwani haiwezi kwisha mwenzi hamja andika ujinga juu ya Lema hamjatafuta namna ya kumchokoza ila pambananeni sana juu ya Lema nyie na ccm yenu na polisi yenu na mahakama yenu Lema na Mungu wake atashinda kama ilivyo kuwa kawaida yake kushinda kwasababu ana Mungu
 
Kwanza mtoa mada afafanue kama huyu OCD alimwambia Lema mwenyewe au alikuwa anazungumza
na watu wengine.Na je,huyu mtoa mada alisikia au amehadithiwa?Je,Lema unalijua hili?Tunaomba Mh Lema
utuambie kama ni kweli umeambiwa hivyo uone kama huyu jamaa hataikimbia Arusha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom