BARA BARA YA 5
JF-Expert Member
- Sep 11, 2009
- 1,159
- 805
Ni moja ya Mawaziri waliosikika sana awamu ya 4 akiwa Wizara ya Maliasili na Utalii na mbunge wa Singida Kaskazini.
Hiki kinu cha Anko Lungenda kinampa sana headache kukiFanYa First ladY ..
umemtafuta singida hayupo mkuu?Ni Mmoja Ya Mawaziri Waliosikika Sana Awamu Ya 4 Akiwa Wizara Ya Maliasili Na Utalii Na Mbunge Wa Singida Kaskazini.
Hahaaa nijichekee mie ndio hali ilipo kwa sasa ukiwaza moyo unaweza sukuma mengine badala ya damu na mie bado napenda kuishi.Moja ya watu wanaomlaumu sana Mungu kuzaliwa Singida badala ya Mississipi Nyalandu wa kwanza, Geopoll.
Naona yupo kwa Trump huku atarudi tena wakati wa uchaguzi.
ni mmarekani halafu ndio aliingia kwenye kinyang'anyiro kutaka urais.
mnaye huyo atawasumbua sana kuutaka urais kwa hela kwa niaba ya wamarekani.Hiki kinu cha Anko Lungenda kinampa sana headache kukiFanYa First ladY ..
Jamaa alikuwa agent wa US kipindi cha uchaguzi.walimpandikiza ktk kugombea urais...pia aliwafanikishia sana US kipindi yupo maliasili...sahv yupo huko huko US.....
Mzee wa totoz