Mh Kubenea Kuuguruma Manzese , Aliwahi kutahadharisha kuhusu ndege yetu kukamamatwa na imekamatwa kweli

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,293
217,279
Leo tutakuletea Live Mkutano wa Mbunge Saed Kubenea kwenye Kurasa zetu za - Habar.jpg

Yan msela kama sio mbunge wetu tu, alituhaidi vijiahadi ambavyo amevipotezea na katupotezea kabisa sisi wananchi wake
 
The cycle is closing, ma- snitch tunawajua, lkn huyo Kubenea anacheza ngoma asiyeijua, yeye anatumiwa tu.

Nyie wenzetu ni slow learners. Huwa inawachukua muda mrefu sana kuelewa mnachoambiwa na watu wanaoona mbali, na yakitokea mliyoambiwa mapema kabisa kuwa yatatokea mnaanza kuwalaumu waliowapa tahadhari!
Nimekosea hata kukuiteni "slow learners", you guys never learn at all.
 
njoo manzese huku ukiambatanisha malalamiko yako , tutakupokea tu mkuu
Mkuu kama upo chadema waambie akina mbowe watuwekee mgombea mwingine tutamchagua lakini sio huyu, kama mkijifanya viburi mtaishia kusema ccm wamewaibia kura maana huku kimara hatumtaki kubenea lakini tunaitaka chadema iendelee kutawala jimbo
 
Mbunge wa Kimara ni Mnyika , Kubenea ni mbunge wa Ubungo
 
Back
Top Bottom