Mh. Kingwangala na mkewe wadakwa na TAKUKURU

Status
Not open for further replies.
To me i think siyo rushwa..ilikuwa ni ukarimu wake tu. Maana jamaa ni mkarimu sana yaweza kuwa alipita mitaa kaona jamaa wananjaa akaamua kuwagawia vitumbia but ideally it was not corruption. Alishindwa kujizua akabidi afanye Liwalo na Liwe..! big up Kigwa..

Kwahiyo ilitokea kama coincidence akawaona wana njaa wakati anatafuta watu wa kumpigia kura alipopita mtaani?Hayo macho ni ya aina yake ya kipekee hayo.
 
Ni bahari ya kweli, nimethibitisha kwa kamanda wa pccb amesema alishikiliwa kwa muda akahojiwa na kisha akaachiwa
Asante mkuu. Hilo la kushikiliwa na kuhojiwa hainipi shida sana. Kinachonipa shida ni sababu za kushikiliwa na kuhojiwa - inaweza kuwa ni hilo la kugawa vitumbua na shilingi 2,000?
 
vitumbua1.jpg

Yeah! hivi ndio vitumbua, TAKUKURU WANATUCHEZEA...
Aisee halafu vimetulia hivyo.
Aliyepika hivi lazima atakuwa mama wa kitanga.
 
Duh, mkewe huyu huyu DR. Bayoum wa AMREF?? Kazi ipo!

Unashangaa Mkuu? Kwani watanzania wa vijijini unahitaji kuwapa nyingi? wana maisha magumu hata hyo elfu 2 wanaona neema kubwa! Huko maisha magumu sana!Sasa hapo ukiongeza pilau, kofia,T-shirts na Khanga ndio umeua kabisa!
 
Wakati vugu vugu la uchaguzi likiendelea ndani ya Ccm leo hii mjini Nzega, Mh Kigwangala akiwa katika harakati za kupanga timu yake ya ushundi amekamatwa na wana takukuru akigawa vitumbua na elfu mbili mbili kwa wapiga kura wa chaguzi za jumuhia ngazi za Wilaya. Bado wanaendelea kuhojiwa ofisi za Takukuru Wilaya
Mh! hivi hawa wanachama wa CCM imefikia kupokea vitumbua na Tshs 2,000/= kweli chama kimekufa kuanzia chenyewe na wanachama wake aibu kwao.
 
Aisee halafu vimetulia hivyo.
Aliyepika hivi lazima atakuwa mama wa kitanga.

Mashallah! Mkuu umenkumbusha vitumbua vya pale bondeni Arusha kwa Hussein Tumbo miaka ileeee. wale wa Arusha wanajua what i mean. Kitumbua kimetulia!
 
Hadithi! hadithi!
Apo zamani za kale palikuepo na lifisadi na jizi sugu lililoitwa kingwalangwala lilipenda sanaa kumtamka maneno yafutayo....
'Ohoo kingwalangwala mpiganaji, ohooo kingwalangwala mwanaharakati wa kweli, ohoo kingwalangwala anawajali sana wana nzega...ohoo kingwalangwala yuko tayari kwenda jela kwa ajili ya wachimbaji wadogo wadogo wa nzega, ..ohoooo.....chukueni vitumbua na buku 2 ili mnichague kingwalangwala kwenye kila chaguzi'

mwishowe kingwalangwala mikononi mwa takukuru! na hadithi kwishney!
 
Wakati vugu vugu la uchaguzi likiendelea ndani ya Ccm leo hii mjini Nzega, Mh Kigwangala akiwa katika harakati za kupanga timu yake ya ushundi amekamatwa na wana takukuru akigawa vitumbua na elfu mbili mbili kwa wapiga kura wa chaguzi za jumuhia ngazi za Wilaya. Bado wanaendelea kuhojiwa ofisi za Takukuru Wilaya

The second run up who became the member of the parliament!
 
lakini hawa TAKUKURU mbona zile Rushwa kubwa hawazishughulikii? fedha zemeibwa na kuhifadhiwa USWIS wao kimya, tumeibiwa kwenye RADA kimya, ununuzi wa ndege ya raisi kimya, mikataba mibovu ya madini kimya, RICHMOND Kimya, KAGODA, MEREMETA na zingine nyingi hapa naona wanatulete utani tu watanzania.
 
unashanga nini kusikia Vitumbua? Kwani wewe kila post Nepi na Mwigulu anakulipa sh.ngap? we si wale wale wa cheap ? wanakutumia tu hapa JF kama nani hii....

Hii dhani mtu ukiwa against Chadema basi unatumiwa sijui inatoka wapi, mkuu aiwezekani watanzania wote tuwe Chadema, labda nikuulize wewe katika mshahara wa Dr Slaa wa milioni 7 kwa mwezi wewe unapata ngapi?
 
Pia Wamuulize Mtihani wa Darasa la Saba aligushi jina la MTU ni kosa la JINAI kwahiyo ni kesi akishindwa anapelekwa JELA MIEZI

10... LOL How nice... Kijizi hicho... za Mwizi Arobaini...

Pia alambwe viboko 12.
Sita akiingia...
Sita akitoka akamuonyeshe mkewe
 
Wakati vugu vugu la uchaguzi likiendelea ndani ya Ccm leo hii mjini Nzega, Mh Kigwangala akiwa katika harakati za kupanga timu yake ya ushundi amekamatwa na wana takukuru akigawa vitumbua na elfu mbili mbili kwa wapiga kura wa chaguzi za jumuhia ngazi za Wilaya. Bado wanaendelea kuhojiwa ofisi za Takukuru Wilaya

Mkuu mbona hii kama inaonekana imekaa kivisasi flani?Dr. Kingwa ebu jipambanue.....
 
Halafu mnasema CCM inaanguka 2015, kama ndio hivi basi CCM itatawala milele. Igunga tutaleta malori ya vitumbua. Wa nyamwezi kwa vitumbua achana nao, kila mtaa tabora wanauza vitumbua.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom