Mh. Kingwangala na mkewe wadakwa na TAKUKURU

Status
Not open for further replies.
Wakati vugu vugu la uchaguzi likiendelea ndani ya Ccm leo hii mjini Nzega, Mh Kigwangala akiwa katika harakati za kupanga timu yake ya ushundi amekamatwa na wana takukuru akigawa vitumbua na elfu mbili mbili kwa wapiga kura wa chaguzi za jumuhia ngazi za Wilaya. Bado wanaendelea kuhojiwa ofisi za Takukuru Wilaya

Hiyo ndiyo BEI HALISI YA KURA YA MTANZANIA WA KAWAIDA....Halafu tutegemee kubadilika na kuleta maendeleo??? MUNGU AJALIE ILA SAFARI YA KUELEKEA MAENDELEO NI BADO MBICHI KABISAAA....Kura=vitumbua+Tshs 2,000/=....INATIA KICHEFUCHEFU
 
Wakati vugu vugu la uchaguzi likiendelea ndani ya Ccm leo hii mjini Nzega, Mh Kigwangala akiwa katika harakati za kupanga timu yake ya ushundi amekamatwa na wana takukuru akigawa vitumbua na elfu mbili mbili kwa wapiga kura wa chaguzi za jumuhia ngazi za Wilaya. Bado wanaendelea kuhojiwa ofisi za Takukuru Wilaya

.
Sijawahi kuona mwanasisiem asiyegawa rushwa katika chaguzi.
.
 
Wakati vugu vugu la uchaguzi likiendelea ndani ya Ccm leo hii mjini Nzega, Mh Kigwangala akiwa katika harakati za kupanga timu yake ya ushundi amekamatwa na wana takukuru akigawa vitumbua na elfu mbili mbili kwa wapiga kura wa chaguzi za jumuhia ngazi za Wilaya. Bado wanaendelea kuhojiwa ofisi za Takukuru Wilaya

jamani of all the things vitumbua!dah!hii ni tanzania zaidi ya tuijuayo!
 
Atakuja hapa na ile ID yake nyingine ya sijui Chikatakata ajifanye anatetewa halafu baada ya muda anaingia na ID yake halisi akitoka Takukuru lazima aingie hapa
 
kweli sisi ni wadanganyika kweli. yaani tinarubuniwa na vitumbua? kazi kweli kweli
 
Sasa hiyo ni rushwa au ukarimu? Nyie Takukuru hebu jaribuni kuwa na akili ili msiwe mnapelekwapelekwa tu. Kwahiyo na mimi nikimkaribisha mtu nyumbani kwangu na kumpa chai na vitumbua basi nakuwa nimetoa rushwa? Come on TAKUKURU!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom