Mh Kikwete, uchapakazi wa Lowassa ulificha udhaifu wako

chapakazi edward Lowasa, Mungu wa kweli akusimamie uje upate uongozi ili udelive kama kawaida yako, makosa madogomadogo omba msamaha wa kweli wa Mungu akusamehe, kama kuna CCM tena, Im No. 1 for Lowasa, go El El go, siku hizi hata story za shule za kata hamna tena kwasababu Lowasa alizijenga, baada yake nini cha maana akimefanyika?, like SS like you, Mda wa kuburuzwa haupo tena, tunatafakari na kuchambua kabla ya kuongea na kuamua, wapika majungu na wanafki goodbye.
 
Lowassa hana uchapakazi wowote ni Jambazi tu ambaye sasa hivi angetakiwa awe jela akinyea debe.
 
Nafunguka, kwa mwenye direct contacts za jembe langu EL hebu aniPM nimpe mawili matatu, hili jembe halitakiwi litupotee hivihivi. kuna kipindi jamaa zangu wa karibu watakuwa wanakumbuka nilipokuwa nawauliza hivi huyu PM EL anapumzika lini? hata kama safari ni za ndege mbona zinachosha, leo Kagera anauliza we mjeshi vp mbona shule hujajenga? kesho, mtwara we vp shule zangu mbona sizioni? hayo ndo yalikuwa maisha ya ya EL, kama hamkumbuki acheni siasa zenu nendeni TBC muombe hivyo vipande na ndo mtapuuza hao wanafiki. Msiamini kila kitu, si mlikuwepo? ina maana hamkuona? au mnajisahaulisha tu, au ndo uvivu wa kusoma na kutafakari
 
Mjenda Chilo kama unampenda sana Lowassa nenda uwe mtumishi wake wa ndani umpigie deki choo chake. Ukweli ni kwamba Lowassa ni Jambazi na Fisadi aliyekubuhu ambaye anatakiwa awe jela au kama ingekuwa kule China angekuwa ameshafilisiwa kila kitu na kupigwa risasi na kufa. Lowassa ni mzoga unaonuka labda akawaongoze hao wapumbavu wenzake.
 
Siungi mkono hoja yako.[/QUOTE

Ukweli ni kwamba Lowassa alipokuwa waziri mkuu serikali ilikuwa inaendeshwa na Rostam Azizi na ndio maana wakina Ngeleja. Adam Malima na Salva Rweyemamu wakapata hivyo vyeo vyao vya kiushikaji!! Naona sasa Lowassa ameishaanza kampeni za kumchafua Mkweree kwa kuwatumia vikaragosi wake humu janvini!!
 
Inawezekana ni kweli.

Hata hivyo, rekodi ya mchango wa uongozi wa kimaamuzi wa Edward Lowassa ni kama wa mjomba aliyekusomesha lakini akakunajisi.


 
JK alitia doa serikali yake kwa kumteua Lowassa Waziri Mkuu na kukiuka wosia wa Baba wa Taifa.
 
Back
Top Bottom