mekuoko
JF-Expert Member
- Nov 15, 2012
- 418
- 365
Huyu rais, unajua anaingizwa mtini na jenge la wanafiki wanaomshauri bila mwenyewe kujua athari za atendayo! sasa wenzetu huko nje wanatuelewa tuna rais wa aina gani kama anateua watu bila kuzingatia shria na vigezo vilivyokubaliwa kitaifa?
Si juzi umesikia tena kituko cha Wizara ya Afya, Utumishi na TAMISEMI kumteua RMO wa Simiyu kinyume na sheria , kanuni na taratibu ili tu kumfurahisha Mteule wa rais (RC) ambae ni kada, bila kujali athari zake?
Hii ni zarau kwa taaluma.Shida vyeo nchi hii vinapeanwa na si vigezo. Wanapoboronga taaluma yote inadharaulika! Madaktari (MDs+) wanaadaamgomooooo kukwepa aibu, Majaji mnasemaje?