Mh:kikwete,gharama za kuendesha serikali yako ni kubwa

naninibaraka

JF-Expert Member
Oct 13, 2011
910
668
Mh Rais nchi yetu inapita kwenye kipindi kigumu cha hali mbaya ya uchumi,maisha yamekua magumu,kibaya zaid serikali unayoiongoza haijatoa tamko lolote,wachina wajenz wa barabara wametishia kusimamisha kazi pesa hakuna.

Pesa zinazokusanywa kwa kiasi kikubwa zinatumika kuendesha serikali ikiwa ni pamoja na safari zako kila kukicha nje ya nchi ambazo hazina tija,zaid ya maslahi binafsi,rais makini hutumia muda mwingi kutatua kero za wananchi wake, kusafir nje kwa raha gani wananchi walizonazo?

Rais wa nchi kukaa kimya wakati uchumi unadorora si jambo jema hata kidogo,hakuna juhudi za dhati za serikali kutatua matatizo yanayoikabili nchi kwa sasa..

Wananchi tumechoka na maneno kila kukicha mara 'serikali yenu ni sikivu,mara serikali inafanya upembuz yakinifu' hizi zote ni blabla! Fanyeni maamuz magumu!
 
bado busara na ushauri wa watanzania haumuingii akilini hapa anaona watu kama vile mazuzu hawajui kitu ila mwisho ni mbaya.
 
Tatizo sio Kikwete tu, naona hata washauri wake ndiyo tatizo. Hivi kuna mtu mwenye akili timamu hafahamu matatizo yaliyokabili nchi yetu? Na je kuna asiyefahamu kuwa tatizo kubwa nchi yetu ni Kikwete na serikali yake?

Je kuna asiyefahamu kuwa washauri wake wakubwa, bila kuwasahau ze fest ledy na rizi1 ndiyo walioifikisha nchi hapa ilipo. Tatizo lingine Tanzania ni wananchi matumbo mbele. Isingekuwa hao pia leo tusingekuwa katika hali hii.

Isingekuwa matumbo mbele tusingekuwa bado na serikali namna hii madarakani. Ikiendelea kutumbua kidogo kinachopatikana na kodi ya wananchi. Sasa kila kona wanasema serikali imeiishiwa, ona wachina wanadai mabilioni, IMF inasema nchi haina hela. Bado wanaendelea kufikira matumbo yao, eti waongezewe posho kama majirani. Mavi yake....huyo...
 
Tatizo sio Kikwete tu, naona hata washauri wake ndiyo tatizo. Hivi kuna mtu mwenye akili timamu hafahamu matatizo yaliyokabili nchi yetu? Na je kuna asiyefahamu kuwa tatizo kubwa nchi yetu ni Kikwete na serikali yake?

Je kuna asiyefahamu kuwa washauri wake wakubwa, bila kuwasahau ze fest ledy na rizi1 ndiyo walioifikisha nchi hapa ilipo.

Tatizo lingine Tanzania ni wananchi matumbo mbele. Isingekuwa hao pia leo tusingekuwa katika hali hii. Isingekuwa matumbo mbele tusingekuwa bado na serikali namna hii madarakani. Ikiendelea kutumbua kidogo kinachopatikana na kodi ya wananchi.

Sasa kila kona wanasema serikali imeiishiwa, ona wachina wanadai mabilioni, IMF inasema nchi haina hela. Bado wanaendelea kufikira matumbo yao, eti waongezewe posho kama majirani. Mavi yake....huyo...
Tatizo sio Kikwete kivipi?..sisi hatujawachagua hao washauri wake,sisi tumeingia mkataba na yeye personal,hao wengine sisi hatuwatambui..hivyo chochote kibaya,lawama,manung'uniko na masikitiko ni kwake yeye mmoja kwa moja!
 
Tumekosa maarifa kwa kutumia waganga wa kienyeji kufikiri kwa niaba yetu
 
Back
Top Bottom