Mh. Kighoma Ali Malima: Kwanini Wabunge wa CCM tuumbuane, Ni lazima tu-save face

Bill

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
8,232
8,429
Kighoma Ali Malima (RIP), enzi za utawala wa Mwinyi, alipobanwa na bunge na wabunge kuhusu misamaha ya kodi kwa waagiza wa bidhaa nje ya nchi alinena yafuatayo;

Kwa nini wabunge wa CCM tunaumbuana wenyewe, ni lazima tu save face. Baadae huyu ndugu Malima alilazimika kujiuzulu lakini sio kwa shinikizo la wabunge ama maamuzi ya Rais (Mwinyi) aliyeamua kumlinda. Alijiuzuru kwa shinikizo la Mwalimu JK. Nyerere pamoja na wahisani walioamua kukata misaada kwa serikali isiyokusanya kodi.

Kwa hali hiyo msitegemee hawa mawaziri watajiuzuru, mpaka nguvu ya umma itakapofanya kazi.
 
Malima alikuwa ana UDINI sana. Let him rest in everlasting fire.
 
Ni kweli historia inatumika kutoa mafunzo kwa ajili ya maisha ya huko mbeleni, na ama inatutahadharisha kutofanya makosa kama yaliyofanywa huko siku za nyuma. Lakini kama si lazima sana, si vyema kutumia mafunzo yanayoweza kuleta chuki katika jamii yetu. Inatosha tu kujua kwamba baadhi ya watangulizi wetu walipotoka katika baadhi ya maamuzi yao, lakini pengine ni vyema tuwaache waendelea kukabiliana na lolote lililoko huko mbele za haki. AMEEEN
 
Exactly, acha apumzishwe motoni kwa sababu alitaka kuliangamiza taifa kwa udini wake.

Haha haaaa, mkuu mbona wampumzisha motoni ustaadhi! Ni kweli huyu ndugu alikuwa na kasi kubwa sana ya udini na sio udini tu hata ukwapuaji kipindi akiwa Wizara ya Fedha na baadae Uchumi na Mipango kabla ya kupigwa chini kwa shinikizo la wafadhili.

Alikuwa Fedha, alipopigiwa kelele za Mwizi Mwizi, kama kawaida yao CCM wakamhashia Uchumi na Mipango, Donors wakasema hatumtaki kabisa, ndo akaondolewa.

Hizo hukumu za motoni kali sana.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom