Mh. Kificho, awa Mwenyekiti wa Muda wa Bunge la Katiba

utaifakwanza

JF-Expert Member
Feb 1, 2013
14,193
2,812
MH KIFICHO MWENYEKITI WA BUNGE LA KATIBA

Mheshimiwa Pandu Amir Kificho ameshinda nafasi ya Mwenyekiti wa Muda wa Bunge la Katiba baada ya kupata kura 393 sawa na 69.19% ya kura 558 zilizopigwa na kuwaacha kwa mbali Costa Mahalu na Magdalena Rwebangira ambao wamepata kura 84 kila mmoja ambazo ni sawa na 14.79%

Kura saba ziliharibika.

Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Bunge la Katiba utafanyika siku ya Ijumaa.
 
Hivi chadema itajipangaje jamani,hata kama ungesema bunge la katiba liwakilishwe na ngo,viongozi wa dini na makundi mengine,bado asilimia 90%ungewakuta ni makada wa ccm,maana kumbuka ccm ilishinda aslimia 90.02-ya uchaguzi wa vitongoji na vijiji mwaka -2009,na zaidi ya hayo inao mtaji wa zaidi ya makada milioni tano nchi nzima,ni mwanasiasa mwehu peke yake anayedhani ataiondoa ccm kwa chopa,na maandamano ,haishangazi hata makada wa chadema na viongozi wake akiwemo ndesamburo wanaamini rais anayefuata atatoka ccm,kinachogomba ni nani,lakini ushabiki wao wote,ni kwa makada wa ccm,ni mbowe aliyejivua unafiki wa kisiasa na kuamua kusifu kazi nzuri ya rais kikwete na dr .magufuri katika ujenzi wa miundombinu ya barabara -well,mh.pandu kificho ,ni mwenyekiti wa mda wa bunge la katiba,ni yeye atakayeongoza mchakato wa kumpata mwenyekiti wa kudumu na makamu wake.
 
kinachonekan n mkakat wa kukwamisha serikali tatu tulijua hlo mchakato huu umeanza ndani y cham chao.kwa haya tusitegemee katiba yenye tija na ukomboz wa mtanzania Mungu pkee akiamua ccm itan'goka n naamin hvo
 
Huyo pandu kificho ni spika wa baraza la wakilishi zanzbr tokea nipate fahamu zangu,ni
dalali mzuri wa kuiuza zanzbr kwa mkoloni mtanganyika.
 
Kwa usahihi wa kimantiki tumia maandishi "Mwenyekiti wa Muda wa Bunge la Katiba"...

Kumbuka kuna uchaguzi utafuata ambapo Mwenyekiti na Katibu wa Kudumu wa bunge la katiba watachaguliwa
 
Hili la huu uchaguzi imeonyesha kwamba ccm watapiga kura as a block kwa kila jambo!!,hakuna cha katiba mpya hapa tutegemee kuburuzana na mitusi kwa wingi.
 
amesema ana kaform six na baadaye alienda morogoro kuchua kacheti ka sheria,

in short hana elimu ya kulidhisha, anauzoefu tu.
 
MH KIFICHO MWENYEKITI WA BUNGE LA KATIBA

Mheshimiwa Pandu Amir Kificho ameshinda nafasi ya Mwenyekiti wa muda wa Bunge la Katiba baada ya kupata kura 393 sawa na 69.19% ya kura 558 zilizopigwa na kuwaacha kwa mbali Costa Mahalu na Magdalena Rwebangira ambao wamepata kura 84 kila mmoja ambazo ni sawa na 14.79%

Kura saba ziliharibika

Kidumu chama cha mapinduzi
 
Dah?!!,kamanda mahalu wamemmbwaga?,kweli ccm wamejipanga,richa ya mahalu kujipendekeza eti ,kura zangu akanihesabie wenje,wapi bana...
 
Hivi chadema itajipangaje jamani,hata kama ungesema bunge la katiba liwakilishwe na ngo,viongozi wa dini na makundi mengine,bado asilimia 90%ungewakuta ni makada wa ccm,maana kumbuka ccm ilishinda aslimia 90.02-ya uchaguzi wa vitongoji na vijiji mwaka -2009,na zaidi ya hayo inao mtaji wa zaidi ya makada milioni tano nchi nzima,ni mwanasiasa mwehu peke yake anayedhani ataiondoa ccm kwa chopa,na maandamano ,haishangazi hata makada wa chadema na viongozi wake akiwemo ndesamburo wanaamini rais anayefuata atatoka ccm,kinachogomba ni nani,lakini ushabiki wao wote,ni kwa makada wa ccm,ni mbowe aliyejivua unafiki wa kisiasa na kuamua kusifu kazi nzuri ya rais kikwete na dr .magufuri katika ujenzi wa miundombinu ya barabara -well,mh.pandu kificho ,ni mwenyekiti wa mda wa bunge la katiba,ni yeye atakayeongoza mchakato wa kumpata mwenyekiti wa kudumu na makamu wake.

Ni mwenye wazimu pekee anaedhani bunge la katiba ni ushindani wa ccm na chadema, pia ni utaahira kudhani kwamba bunge la katiba ni kwa ajili ya kuing'oa ccm madarakani, bunge maalum la katiba ni mahususi kwa ajili ya kuandika katiba ya Tanzania.

Na watanzania ni wananchi wote wa Tanzania, wenye itikadi za vyama na wasio na itikadi za vyama, wenye dini na wasio na dini, watoto kwa watu wazima, watu wenye mahitaji maalum, makundi yote ya Watanzania, tena wenye mapenzi mema na nchi hii ,wasio wanafiki na waroho wa madaraka, wasio na chembe ya ukatili, ufisadi, wapenda mabadiliko, ndio watakaochangia kupata katiba mpya ya watanzania, na sio wanaowaza kuififisha chadema, kamwe hawawezi kuchangia uundwaji wa katiba mpya.

Nasema ni uwendawazimu tu ndio unaopelekea Mawazo ya ushindani wa ccm na chadema ktk bunge hili la katiba. Ni heri kwao watakaopigania maslahi mapana ya wananchi wote, katiba itakayo tibu makovu yote yaliyoletwa na katiba ya zamani,
 
Back
Top Bottom