Mh. Kessy: Wabunge ni wezi

Mzee Mzima

Senior Member
Mar 31, 2008
159
47
Kessy anataka wabunge wachunguzwe, wanapewa hela za safari na hawasafiri. na kuna mkubwa karudisha mke dubai kwa hela za walipakodi.

my take:
Kweli CAG akague wabunge, lakini wabunge wameanza kuamka.
 
Back
Top Bottom