Mh. Kapuya apata mkwe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh. Kapuya apata mkwe

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Mar 7, 2010.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Mar 7, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,693
  Likes Received: 4,729
  Trophy Points: 280
  <table border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="100%"><tbody><tr><td align="left"><table bgcolor="#dddddd" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" height="23" width="100%"><tbody><tr><td width="606">

  </td> <td align="right" width="139">
  </td> <td align="right" width="12">
  </td> </tr> </tbody></table></td> </tr> <tr> <td bgcolor="#999999">[​IMG]</td> </tr> <tr> <td class="shortnews" align="left" bgcolor="#ffffff" valign="top">
  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->
  Mzurikwao Ramadhani Kapuya, ambaye ni binti wa Kaka wa Waziri wa Kazi, Ajira na Maendeleo ya Vijana, Mh. Prof. Juma Athuman Kapuya, amefunga ndoa na Bw. Salum Kabola nyumabani kwa Mh, Masaki jijini Dar es salaam leo mchana. Pichani wanandoa hao wakiwa na nyuso za furaha mara baada ya ndoa.

  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->
  Mama Sitti Mwinye (kushoto) nae akimpa mkono wa pongezi Binti Kapuya

  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->
  Mh. Waziri Kapuya (kulia) akimuozesha Bw. Malum mbele ya Sheikh

  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->
  Mzee Ali Hassan Mwinyi (kwanza kulia) nae alikuwa miongoni mwa viongozi wa serikali waliohudhuria harusi hiyo

  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->
  Abdulrahman Kinana (Kulia) nae alikuwepo. Tunawatakiwa kila la kheri wanandoa hao.


  </td></tr></tbody></table>
   
 2. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #2
  Mar 7, 2010
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,389
  Likes Received: 5,733
  Trophy Points: 280
  Hongera zao wanandoa.....
   
 3. m

  major mkandala Member

  #3
  Mar 7, 2010
  Joined: Mar 6, 2010
  Messages: 74
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jaamani huyo bwana harusi
  mbona kama babake kabisaa ....amekubalije kuolewa na mzee hivyo alikosa
  vijjana kweli....???
   
 4. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #4
  Mar 7, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 156
  Trophy Points: 160
  Sasa wewe inakuhusu nini?
   
 5. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #5
  Mar 7, 2010
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 8,123
  Likes Received: 1,696
  Trophy Points: 280
  Bwana harusi hana babake ni muhimu kuonyeshwa bana mbona tumeona upande wa bi harusi au sababu ni Kapuya ,kama mlovyotuonyesha kwa kapuya na kwa bwana harusi ni vivyo hivyo na kama haituhusu usingeleta hapa sasa umeleta hii habari hapa vipi kama haituhusu?
   
 6. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #6
  Mar 7, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,530
  Likes Received: 1,515
  Trophy Points: 280
  jamani huyu si ni mbabu jamani?mhhh haya kila la kheri wanandoa nyie
   
 7. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #7
  Mar 7, 2010
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,246
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 0
  huna jipya
   
 8. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #8
  Mar 7, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 156
  Trophy Points: 160
  kuhusu nini?
   
 9. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #9
  Mar 7, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 156
  Trophy Points: 160
  Naona Yo Yo unatafuta mtu wa kukufanyia D.R.E.

  btw, Bwa Bwa anasemeje?
   
 10. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #10
  Mar 8, 2010
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,844
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Babu na mjukuuu:confused:
   
Loading...