Mh Kangi Lugora Rushwa yaTrafic Police hapa Kamata umeoona

Bubu Msemaovyo

JF-Expert Member
May 9, 2007
3,832
2,790
Hakika ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni,
Leo nimeweza kuona kwa macho yangu " operation kusanywa pesa za daladala za Mbagala " inayofanywa na Trafic Police waliopo makutano ya Kamata ukielekea BP hadi hapa junction au round about zinqpotundikwa bendera za nchi mbalimbali kupelekea central. Trafic anasimamia gari kwa kuliamuru liegeshe pembeni kisha kondakta anatetemka na kutoa mchango au niseme sadaka yake kisha anaondoka bila kukutana na yule Trafic ambaye anakuwa busy kusimamisha magari mengine kwa ajili ya sadaka hiyo HARAM. Kila gari linatakiwa kuchanga 2,000/= chini ya hapo inaandikwa wanachokiita cheti. Hii inakera sana Mh fuatilia zoezi hilo linafanyika asubuhi saa 11.30 asante kwa kusoma taarifa hii.
 
nenda TAKUKURU huku haitasaidia
 
Tunasemaga rushwa imepungua mwe!
 
Kwa kukuongezea mkuu huo ndiyo utaratibu wao nchi nzima. Si mbaya bwana Lugora kufahamu kuwa yeye binafsi hawampendi sana. Hiyo ni kutokana na wanavyoona kiwingu anachowawekea.
 
daladala Kwa daresalaam zinawatajirisha matrafiki,
Kuna trafiki pale mbuyun kama unaenda tegeta, anaitwa Mfaume, wamenikamata wiki iliyopita nikaenda pale kwenye kibanda wanachokaa ,makondakta wanapishana kuleta efu tano tano zimekunjwa kunjwa kama pipi, lol, hii nchi rushwa haitoisha
 
Hapa hapa aende wapi? Kwani TAKUKURU hawajui haya?

Takukuru wanaona lakini wanasubiri mtu aende akalalamike, Polisi wanaona nao wanasubiri pawe na mlalamikaji bila hivyo hiyo ni pesa ya kung'arisha kiatu, Tiss nafikiri wao nao wanaona lakini wanajisemea kuwa hayo ni mambo ya Polisi kwa Polisi, Afande Mwisilimu Mkuu yeye nafikiri huko aliko anafurahia hiyo Tinduatindua ya hapo Kamata na hataki apelekewe malalamiko kwani yeye ndio kawatuma kazi iendelee, Naye wa bendera ya taifa kasikia yote na anaweza kuwa amemweka RTO kiporo cha "Kick ya baadae"
 
Hakika ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni,
Leo nimeweza kuona kwa macho yangu " operation kusanywa pesa za daladala za Mbagala " inayofanywa na Trafic Police waliopo makutano ya Kamata ukielekea BP hadi hapa junction au round about zinqpotundikwa bendera za nchi mbalimbali kupelekea central. Trafic anasimamia gari kwa kuliamuru liegeshe pembeni kisha kondakta anatetemka na kutoa mchango au niseme sadaka yake kisha anaondoka bila kukutana na yule Trafic ambaye anakuwa busy kusimamisha magari mengine kwa ajili ya sadaka hiyo HARAM. Kila gari linatakiwa kuchanga 2,000/= chini ya hapo inaandikwa wanachokiita cheti. Hii inakera sana Mh fuatilia zoezi hilo linafanyika asubuhi saa 11.30 asante kwa kusoma taarifa hii.

Cha msingi watoto waende chooni...kila mtu anapiga eneo lake

Hizo 2,000 ni mchango wa kiwi za askari tu
 
Yule trafic anaesimamisha yeye anahesabu tuu ni mangapi yamepaki hivyo helabyake anajua baada ya shifti kuisha ni kiasi gani
Hakika ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni,
Leo nimeweza kuona kwa macho yangu " operation kusanywa pesa za daladala za Mbagala " inayofanywa na Trafic Police waliopo makutano ya Kamata ukielekea BP hadi hapa junction au round about zinqpotundikwa bendera za nchi mbalimbali kupelekea central. Trafic anasimamia gari kwa kuliamuru liegeshe pembeni kisha kondakta anatetemka na kutoa mchango au niseme sadaka yake kisha anaondoka bila kukutana na yule Trafic ambaye anakuwa busy kusimamisha magari mengine kwa ajili ya sadaka hiyo HARAM. Kila gari linatakiwa kuchanga 2,000/= chini ya hapo inaandikwa wanachokiita cheti. Hii inakera sana Mh fuatilia zoezi hilo linafanyika asubuhi saa 11.30 asante kwa kusoma taarifa hii.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom