Mh Kamani mikononi mwa polisi kwa tuhumaya mauaji. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh Kamani mikononi mwa polisi kwa tuhumaya mauaji.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by matongo manawa, Jun 3, 2011.

 1. m

  matongo manawa JF-Expert Member

  #1
  Jun 3, 2011
  Joined: Apr 6, 2011
  Messages: 335
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wadau nimesikia leo kwenye magazeti kuwa mh Kamani anahitajika polisi
  kwa mahojiano kwa tuhuma ya kupanga mauaji ya aliyekuwa mbunge wa jimbo
  la Busega na anayesemekana ni ndugu yake Dr Chegeni.

  Naona mambo yanazidi kuwa moto.

  NAWASILISHA.
   
 2. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #2
  Jun 3, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,144
  Likes Received: 577
  Trophy Points: 280
  walati mwingine uwe unanunua magazeti unasoma then unakuja hapa na taarifa za kina............hii ya kusoma/kusikiliza vichwa vya magazeti hii...
   
 3. T

  Technology JF-Expert Member

  #3
  Jun 3, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 733
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 60
  tufanyaje sasa? tuisadie Police!
   
Loading...