Mh Kairuki julai imewaidia, zile ajira 52000 vijana wanazihitaji

Mtarban

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
3,780
2,000
kama ulidhani mwezi Wa saba no mbali basis ulijichanganya. bado Siku kama tano vijana wanakusubiri ili waone kama utaendelea kudhihirisha ule uongo wako kwa kigezo cha uhakiki, ingawa haushindwi maana huenda ukaibuka na kigezo cha uhakiki utakaochukuwa miezi kadhaa ili tu kuwahadaa .

ni hayo
 

nkongu ndasu

JF-Expert Member
Jan 19, 2013
22,521
2,000
hiyo sio ahadi ya kairuki bali ya jpm mkuu.alihaidi kwa kujitapa kule moshi kwamba atatoa ajira 52000, promotion na increment kwa wafanyakazi kufikia mwezi july. time will tell...
 

Bonde la Baraka

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
4,599
2,000
Yule mama anaroho ngumu mno, kinywa chake kinadanganya kila leo na kanisani anakwenda. Mimi ningekuwa au nikiwa waziri ni heri nijiuzulu kuliko kubeba kauli za uongo na kusimamia mazoezi ya ajabu.
Juzi ametangaza kuwa Julai zoezi la kupima uwezo wa watumishi wa umma linaanza rasmi.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom