Mh:kafulila nakutakia honey moon njema

Marire

JF-Expert Member
May 1, 2012
12,044
2,000
Yaani nina furaha sasa kazi yako imekamilika na imethibikika mwizi ni nani na tumbili nani
sasa hata ukienda honey moon itakuwa safi sana
 

Marire

JF-Expert Member
May 1, 2012
12,044
2,000
swissme asante mkuu
mwanzo nilimuona dogo kama anacheza nilipokaa nikawasikiliza watunga hoja za kutetea mafisadi toka ccm to be honestly nilimuona dogo anatafuta umaarufu....
_kwa kweli hata leo hii kama si upinzani hakuna mtu angewajibika ccm kama ile movie ya jana eti chenge ndio amatoa njia
 
Last edited by a moderator:

Tabby

JF-Expert Member
Jan 8, 2008
10,593
2,000
Kama kwenye movie ya Willy Gamba!.

Kapumzike kwa amani lakini msijisahau. Mafisadi ni watu wa visasi na vinyongo visivyokoma.

Mungu awatunze.
 

TUTEER

Senior Member
Nov 6, 2013
161
170
Mh Kafulila:Una demu kipiraa!,kaz kwako kudundisha.Pia tunaktakia maisha mema ktk ndoa yako kikubwa maisha ya ndoa yanataka kusikilizana,kupenda,kushauriana na pia kuaminiana.Mkifuata hayo mtakuwa na familia yenye furaha.Asante kwa uimara wako ktk sakata la escrow,siku zote ukwel hujidhihilisha hata kama umefichwa.Mpe hi shem!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom