Mh. Juma Nkamia (MB) ni mshari na mtu mwenye dharau

mambomoto

JF-Expert Member
May 10, 2011
326
236
Siku za nyuma nilipokuwa bado shuleni nilikuwa navutiwa sana na kazi ya utangazaji ya Juma Nkamia ambaye sasa ni Mh. Mbunge. Lakini nikawa napata shida kidogo kuhusiana na tabia yake ya dharau hasa panapotokea jambo la kujadili mada. Sikutilia maanani sana kwani sikuwa na muda wa kutosha kumfuatilia mara ka mara. Lakini hali hii ilidhihirika wakati fulani mwaka fulani aliingia mgogoro na aliyekuwa mtangazaji pia na Abdalah Majura kwenye issue fulani ya mambo ya uongozi wa michezo. Baada ya hapo nilikuwa namsikia na dharau zake kwenye mambo mbali mbali hasa kwenye utangazaji wa BBC kama sijakosea.
Jana tena (29.06.2011)akawa anahojiwa na BBC kuhusu posho meza moja na Zitto Kabwe. Yaani utajagundua ni mtu wa ku attack personality kuliko kujadili mada.
Mi binafsi nilikuwa na mheshimu sana lakini nimeona ni mtu wa ajabu kweli kweli hana sifa za kuwa kiongozi ni kheri angeendelea na mredio wao wa CCM Taifa (TBC
 
Huyu jamaa ni "debe tupu"!

Mtangazaji wa BBC alimuuliza mara tatu "Kwanini unataka posho ziongezwe?"... Hakuweza kujibu mpaka mjadala unaisha zaidi ya kujiumauma!

You can imagine wabunge wetu wengi hiyo ndiyo calibre yao!
 
sio wote tuliosikiliza hayo mahojiano na bbc,si vibaya ungeweka wazi hicho alichosema,ili tuweze kuchangia, maana tunashindwa kujenga hoja
 
Halafu Bunge ndo linasemekana kuwa linatunga sheria na watu wa aina hii!...Si watajifanya miungu watu.
 
Siku za nyuma nilipokuwa bado shuleni nilikuwa navutiwa sana na kazi ya utangazaji ya Juma Nkamia ambaye sasa ni Mh. Mbunge. Lakini nikawa napata shida kidogo kuhusiana na tabia yake ya dharau hasa panapotokea jambo la kujadili mada. Sikutilia maanani sana kwani sikuwa na muda wa kutosha kumfuatilia mara ka mara. Lakini hali hii ilidhihirika wakati fulani mwaka fulani aliingia mgogoro na aliyekuwa mtangazaji pia na Abdalah Majura kwenye issue fulani ya mambo ya uongozi wa michezo. Baada ya hapo nilikuwa namsikia na dharau zake kwenye mambo mbali mbali hasa kwenye utangazaji wa BBC kama sijakosea.
Jana tena (29.06.2011)akawa anahojiwa na BBC kuhusu posho meza moja na Zitto Kabwe. Yaani utajagundua ni mtu wa ku attack personality kuliko kujadili mada.
Mi binafsi nilikuwa na mheshimu sana lakini nimeona ni mtu wa ajabu kweli kweli hana sifa za kuwa kiongozi ni kheri angeendelea na mredio wao wa CCM Taifa (TBC

hivi kuna mwenye akili nzuri CCM?
 
Hana lolote huyo anafikiri hivyo viposho ndo vitamtoa

Nilimsikiliza kwa makini sana. Si mtu wa kuattack bali ni kilaza wa kufa mtu. Jana hiyo kwamfano alijenga hoja ya kishamba kipuuzi sana ya kuwa zito katosheka ndo maana anakataa posho. Akaongezea kuwa yeye ndo ameingia bungeni kwa mara ya kwanza. Hii kwa mtu mwenye akili timamu ata muona mbunge huyu kuwa ameingia bungeni kuiba hela za walipa kodi.

Pili ata mgundua kuwa ni mtu mwenye uwezo mdogo wa kufikiri hasa pale anapokuwa anaongea na watu wenye tafakuri ya hali ya juu, kuwa hakutakiwa kujenga hoja kama hiyo ya kujidhalilisha.

Ata vile alikipata cha moto mbali na kubebwa na mtangazaji mwenzake, waliotoa maoni kwa sms walimponda kinoma karibu wote. Aibu kwa mtu mwenye weredi huwa haijitokezi kifara namna hiyo.

Jambo la msingi ni kujua kuwa watu kama hawa hawasitahili ata kuitwa waheshimiwa, Juma Nkamia anaheshimika kwa lipi mkuu?! Kwa kutoa hoja za pumba eti?

Lingine ni kujiuliza, hawa waandishi wa idhaa za kiswahili huwa wanapataje nafasi? Maana ni dhahiri kuwa CCM huwa hawachagui mtu mwenye mawazo ya kujitegemea ili awe mwakilishi au afanye kazi ambayo wanadhani ina maslahi kwao. Wako tayari kuweka JUHA eneo fulani ili walielekeze cha kufanya. Yaani ili CCM wakuamini lazima kwanza ulishwe UNGA WA NDELE uwe MSUKULE na hapo wakutumie kukupanda kama pundsa na wanapokuchoka au wakiona unaanzakuwa na akili tena wanakutema kwa namna nyingi nyingi waulize kina Tido Mhando, DR. Salm, Bashe nk.

JUMA Nkamia na wewe subiri siku yako inakuja.
 
JAMANI MBONA CCM HAWAFUNGUI MATAWI KAMA CHADEMA VYUO VIKUU?????? AU NI NINI KIKO WAZI LAKINI HAKITAMKWI?? Teh..teh..teh. aaaaa. 'kumbe zeinoo wati izi goingi oni vyuo vkuuu' dah aisee wajanja. wana intelijesia
 
usipoteze muda wako kufuatilia watu kama hawa, kubali kitu kimoja tu na cha msingi ...Zitto Kabwe ana akili (anaelewa mambo) na pia anajaribu kuiangalia nchi kwa uchungu! Huwezi kumlinganisha na watu ambao jeuri yao inatokana na kuamini kuwa "niliwahi kwenda ulaya" tu
 
Mjanja mjanja sana huyu jamaa, knows how to seize opportunities....mwaka 94/95 akiwa anaishi na bro wake Babahi, Kondoa, Dodoma, kuna jamaa anaitwa Hisani alikua anapiga mafuta ya dizeli toka kwenye ujenzi wa barabara pembeni, anakuja kuhifadhi kwao...marehemu kaka yake alikua anamtuma kwenda kuuza mafuta, siku moja alipotea na madumu kadhaa......nadhani alizitumia pesa vizuri coz kuja kumsikia tena, tayari ameshakua mtangazaji...
 
yaani hapo umenigusa hata mie maana huyo mtu anadharau sana anajiona yeye ndiye kuliko, na sasa anasahau hata alikotoka kwa maana ya kuwadharau wanafani wenzake
 
Simfahamu naisikia sauti yake - dhahili hana ile power of speech nje ya kusoma script. Kwa nini hafuati nyayo za kaka yake Mustapha Nyang'anyi? Unlike Nyang'anyi huyu hayuko diplomatic katika uzungumzaji wake. Nilishangaa kwenye redio moja ya nje alipoweka maneno ndani ya mdomo wa Mchungaji Msigwa na kumshambulia Msigwa kwamba "unafuata upepo utakufa njaa maana wewe na mimi ndo mara ya kwanza kuingia mjengoni" Mh. Nyang'anyi mpe shule mdogo wako na apunguze jazba wakati anapofungua mdomo mbele ya watu wenye akili ambao yeye kwa imani yake ni mazumbukuku!!!!
 
Mimi sisemi kitu,

Nilikuwa na Juma Nkamia kwa mwaka mzima (1992/93) pale JKT makutupoa, B-Coy, Platoon 1.....Labda namfahamu kidogo...!!

Ngoja niishie hapo. Nitarudi siku nyingine!
 
Back
Top Bottom