Mh.Joseph Mbilinyi ''SUGU'' ameonyesha njia kwa Vijana! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh.Joseph Mbilinyi ''SUGU'' ameonyesha njia kwa Vijana!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Tanzaniaist, Jan 17, 2012.

 1. T

  Tanzaniaist Senior Member

  #1
  Jan 17, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 162
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Habari Zenu wana Jf...!

  Leo nina Duku duku langu kuhusu mh.Joseph Mbilinyi, mbunge wa mbeya mjini..! kwanza napenda nimpongeza katika juhudi pamoja na harakati zake za kila siku katika kusimamia majukumu yake kama sehemu ya serikali pamoja na kuwa kiungo muhimu ndani ya Chadema...!

  Ndugu zangu bila kuangalia itikadi..,napenda niseme kwa dhati Mheshimiwa ameonyesha njia na kutupa sisi Vijana moyo..kupitia kitabu chake alichoandika FROM THE STREETS TO THE PARLIAMENT,akielezea maisha yake halisi alipokuwa kijana mwenye maisha ya kawaida tu,maskini ambaye alitafuata kila aina ya njia kutoka kimaisha hadi alipochagua muziki kuwa sehemu yake ya maisha...huku akieleza kama mhanga wa matatizo yanayowakabili vijana kama uvutaji bangi,ulevi pamoja na kuendekeza wasichana...hili jambo ambalo limekuwa ni tatizo kubwa kwa vijana! ambao wengi wamejikuta wakiangukia kwenye starehe na kushindwa kufanya mambo ya kimaendeleo..!

  Mheshimiwa Sugu amekuwa muwazi bila kujali watu watamwona vipi..,na amefanya hivyo kujitoa binafsi kama yeye mwenyewe ili kuanika maisha yake ii watu wajifunze kupitia kwake...leo hii ni ni vigumu kusikia mwanasiasa yeyote Tanzania amefanya ameanika maisha yake hadharani...Wakati skendo zao tunazickia tu mitaani!

  Mimi binafsi nimejifunza kutokata tamaa hata kwakile nachokifanya..one day i will make it! na hasa kwa vijana wenzangu waliokata tamaa maishani msife moyo! endendeleeni kutafuta..,ata kama ushafanya mabaya mangapi still u have time to build your future! kama Mh.Sugu...,Sio siri nimeipata elimu ya Maisha..na binafsi nikupongeze mh.Sugu kwa kutuelimisha kupitia kitabu chako..,Mungu akubariki..,CDM 4ever
   
 2. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #2
  Jan 17, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mja kunena ugwana ni kitendo.
  Amefanya jambo zuri,amecha changamoto kwa vijana wengine.
   
 3. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #3
  Jan 17, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Ametuonesha kuwa ukistruggle unafanikiwa. Tukiödokana na upuuzi wa kukaa vijiweni, tukajiwekea malengo na kujipanga vema kimkakati, tutafika!

  Big up Sugu. Umejaribu, umeweza na unasonga mbele! Kazi kwetu sasa!
   
 4. IsangulaKG

  IsangulaKG Verified User

  #4
  Jan 17, 2012
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 702
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 45
  Vijana wa kitanzania wanafanya mambo mazuri , Tafuta kitabu cha jamaa mmoja anaitwa Dr. Isangula chaitwa..'Another..Story Not!, ndo utaona vijana wanavyopambana na umasikini
   
 5. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #5
  Jan 17, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  nakala ya kitabu hicho inapatikana wapi? lazima iwafikie vjana wengiz aidi ili nao wajifunze na kuona inawezekana
   
 6. m

  mtengwa JF-Expert Member

  #6
  Jan 17, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 1,745
  Likes Received: 225
  Trophy Points: 160
  Dah me nimekisoma, dah jamaa amepitia mengi
   
 7. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #7
  Jan 17, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,703
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  Bg up RAIS wa mbeya SUGU" CHADEMA 4 life...... But ningependa nimsikie mbunge wa magamba (ccm) bwana Komba naye aandike kitabu ili atupe elimu vizuri jinsi ya kuimba taarabu, kusifia vitu fake, jinsi ya kuimba mipasho na jinsi ya kutunga nyimbo zenye kuhamasisha kuunga mkono hoja kwa 100%. Ni hayo 2 tchaoooooooooooooooooooooo.
   
 8. MAGEUZI KWELI

  MAGEUZI KWELI JF-Expert Member

  #8
  Jan 17, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,943
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  i need this book...nani anacho na anitumie detail kwa mageuzisautiyaumma at gmail dot com?? nitafurahia sana
   
 9. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #9
  Jan 17, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,703
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  Don care men u wl get it.
   
 10. Mbugi

  Mbugi JF-Expert Member

  #10
  Jan 17, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,488
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 160
  Hivi kumbe Ubunge ni DILI kuelekea kufanikiwa kimaisha?
   
 11. dully santo

  dully santo JF-Expert Member

  #11
  Dec 28, 2016
  Joined: Apr 12, 2014
  Messages: 255
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 80
  Nina shida na hiki kitabu jmn mwenye soft copy naomba anitumie
   
 12. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #12
  Dec 28, 2016
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  Hivi kuna wapambanaji kama wasukuma mkokoteni au waendesha maguta?
  Jumlisha makuli wa mizigo????
  Umeshawakuta wamekata tamaa!!?

  Mnawachekesha wanaocheka nanyi mnaona mnachekeeeeeeesha!!!
   
 13. p

  paschal m Member

  #13
  Dec 28, 2016
  Joined: Mar 7, 2014
  Messages: 51
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 25
  Umeanza vizuri mwandishi kwa kusema bila kuangalia itikadi ila nimekuona ovyo ulipomalizia CDM 4ever big mistake itoe iyo
   
Loading...