hana hoja chama chake kinachokusanya kodi tu kimeshindwa kutupunguzia shida zetu,huko mbeya mjini mna mkuu wa mkoa wa ccm,mkurugenzi wa ccm,mkuu wa wilaya wa ccm,rais anatoka ccm kwann huwaulizi wamewafnyia nn vijana wa mbeya?huna hoja
Inawezekana akawa ana hoja lakini akiwa kama mwananchi mpiga kura anatakiwa kujua mbunge wake anafanya nini.ana hoja jamani msikilizeni
Usifikiri umbali wa pua yako! SUGU alikuwa na manifesto yake wakati wa uchaguzi ikiainisha ni kwanini wamchague kuwa Mwakilishi wao. Ajitokeze ajibu. Kama alijua hakusanyi kodi alikuwa na mbinu mbadala, na kama angetaka kusema kuhusu hao wakurugenzi, rais, wakuu wa wilaya na mkoa angewauliza! Huyu ni mwakilishi wa wananchi, sio mwajiriwa wa serikali.hana hoja chama chake kinachokusanya kodi tu kimeshindwa kutupunguzia shida zetu,huko mbeya mjini mna mkuu wa mkoa wa ccm,mkurugenzi wa ccm,mkuu wa wilaya wa ccm,rais anatoka ccm kwann huwaulizi wamewafnyia nn vijana wa mbeya?huna hoja
We sidhani kama ni kijana kweli,we utakuwa ni mzee tu ndio maana hata ulicho kiandika hukijui.
Sasa haya maswali una muuliza nani?
Kama unaona ujafanyiwa kitu si useme ili tujadili, yani una tuuliza sisi wote ni vijana wa mbeya?
Lini umewai kuwa na imani na cdm kama si unafiki?
Usiulize sugu kaifanyia nini mbeya,jiulize wewe umeifanyia nini kitongoki,tarafa,kijiji,jimbo,wilaya,mkoa na nchi yako? Anza Hapo ndio tutakujibu.
duuuuh we jamaa unatisha huo utafiti wako umeegemea katika nini maana kattika hiyo list ambaye hatarudi ni shibuda pekee. tembelea majimbo yao kwanza ndo uje useme ulichokisema hapo juuWabunge hawa ni majanga ya taifa:
1. Mdee
2. Mnyika
3. Wenje
4. Msigwa
5. SUGU
6. Nyerere
7. Mbowe
8. Silinde
9. Shibuda
10. Selasini
11. Ndesamburo
Wapiga kura wao wanaisubiri 2015 wapigwe chini
Wabunge hawa ni majanga ya taifa:
1. Mdee
2. Mnyika
3. Wenje
4. Msigwa
5. SUGU
6. Nyerere
7. Mbowe
8. Silinde
9. Shibuda
10. Selasini
11. Ndesamburo
Wapiga kura wao wanaisubiri 2015 wapigwe chini
Wabunge hawa ni majanga ya taifa:
1. Mdee
2. Mnyika
3. Wenje
4. Msigwa
5. SUGU
6. Nyerere
7. Mbowe
8. Silinde
9. Shibuda
10. Selasini
11. Ndesamburo
Wapiga kura wao wanaisubiri 2015 wapigwe chini
Toka kuingia madarakani kwa huyu mbunge kwa tiketi ya Chadema, naomba kujua mbunge wa mbeya mjini Joseph Mbiilinyi...nini umefanya ambacho sisi vijana wa mbeya tunaweza kujivunia ama hata yeye kujivunia kuwa ametuwakilisha ipasavyo??