Mh.Joseph Mbilinyi a.k.a SUGU Mjengoni Dodoma akiapa!!!!!!!!!!!!!!!!!

TGS D

Senior Member
Aug 3, 2010
114
13
Sugu.jpeg

Mh. Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu akiapa mjengoni.

I admire you Sugu!!!

Wakilisha wana wa Mbeya mkuu!
 
wape wapinzani wako za Anti Virus, najua huko waliko ni aibu tupu coz umetinga mjengoni kwa Kura nyingi saaana so lazima wajiharishie
 
Huyu bwana kwa maisha aloyapitia lazima atawatetea wanyonge na hope hatajipenda!
 
Ndo aina ya viongozi tunaowataka. We need people who are real enemy of fraud, poverty, Poor education, Poor living standard of our lives etc.
 
Endeleza harakati mpiganaji. Kupitia vichwa kama Lissu, Kabwe, na wengineo, unayo mengi ya kujifunza ktk upambanaji. Go Sugu, sky is the limit!
 
Sugu ana uhuru wa kusema hivyo atasema bila uwoga,kwa upande wangu namkubali sugu tangu zamani sana kutokana na mistari yake,sugu ni jembe acha lilime bwana
mapinduziiiiii daimaaaaaaa
 
Nakupa sana Big up Sugu.....watetee wana-mbeya mjini hadi tone lako la mwisho la damu....Kumbuka wanambeya wameweka matumaini mengi juu yako.

Namshauri Sugu atengeneze MP3 YENYE Albam zake zote hadi hiyo Antvirus...
 
Moja ya nyimbo zake ninayo admire ni `Ana Miaka chini ya Kumi na Nane`, na nyingine nyingi zimejaa Ujumbe tupu
 
All the best SUGU, Nategemea mengi toka kwako! Mbeya mjini inakutegemea, please kadhibiti uwizi wa Mbolea za Ruzuku!

Sio wizi wa mbolea za ruzuku tu. wale madiwani wa chama tawala wakiongozwa na meya wao kihiyo walijaa ubingwa wa wizi katika kila sekta iliyopo katika jiji la mbeya hence kudumaa kwa mji. nasikia huyo meya bomu kachukua fomu tena ya kugombea umeya!! chonde chonde madiwani wapya na wale wa upinzani unganeni kumtoa mdhalimu huyu. Akipeta basi SUGU una kazi moja ya kudhibiti wizi wa huyu jamaa ambaye hana vision na mji wa mbeya. wana mbeya wana kiu ya kupata mabadiliko ndo maana SUGU umezoa kura nyingi sana. Do not let us down!!
 
Mr II aka sugu kila heri mjengoni. Nilipenda bongo flavor kwa sababu yako natumaini nitapenda siasa kwa sababu yako pia
 
Kichaa kapewa rungu, kazi kwenu mafisadi-kwa tafsiri inayojulikana sio ile ya Ana Makinda!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom