MH.JK usipoteze muda kumshangaa Dr.Slaa huyo ofisi yake ni Majukwaa na wewe ofisi yako ikulu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MH.JK usipoteze muda kumshangaa Dr.Slaa huyo ofisi yake ni Majukwaa na wewe ofisi yako ikulu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Lu-ma-ga, Mar 2, 2011.

 1. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #1
  Mar 2, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,840
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  Inasikitisha kuona mkuu wa nchi anaanza kuhangaika na Katibu mkuu wa chama cha siasa CDM ambaye yuko katika kutekeleza majukumu alipangiwa na boss wake(chama chake)
  Huyu ni mtendaji wa kila siku wa shughuli za CDM, yuko katika kutekeleza majukumu yake kwa kufuata mikakati aliyojiwekea ikiwa ni pamoja na kuitisha maandamano ya amani kufikisha ujumbe wa waajiri wake(wananchi)

  JK kwa upande wake alipaswa kutekeleza majukumu yake kwa kuwapunguzia wanachi kero mbalimbali, lakini badala yake amekuwa akilalamika jinsi CDM wanavyotekeleza mikakati yao ya kukosoa serikali.Je JK BADO ANATUFAA????
   
 2. kalagabaho

  kalagabaho JF-Expert Member

  #2
  Mar 2, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,279
  Likes Received: 2,073
  Trophy Points: 280
  wewe kweli hujui majukumu ya rais! Yaani wapuuzi wachache wanahamasisha vurugu halafu unataka rais akae kimya? Hebu funga domo lako wewe eboo!
   
 3. gasper kolila

  gasper kolila Member

  #3
  Mar 2, 2011
  Joined: Oct 26, 2009
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mara nyingi dr. slaa ana uchungu na watanzania wanaoteseka walio wengi,kwa hiyo anachokifanya ni sahihi na anatimiza wajibu wake kama katibu wa chama.ccm inajenga historia ya kushindwa katika kila jambo lenye maslahi ya wananchi,ila kinafanikiwa katika maslahi ya waliowachache ambao ni mafisadi.
  basi historia kama hii mara nyingi huwa ni ya muda mfupi sana na huwa haiandikwi,wala kurekodiwa.
   
 4. CPU

  CPU JF Gold Member

  #4
  Mar 2, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Kinachomtisha Mkwere sio majukumu ya Dr Slaa, bali ni KASI ANAYOTUMIA DR SLAA kuwaamsha wananchi kutoka usingizini. Ni kasi ya ajabu sana kuliko hata kasi waliyoitumia CCM kusambaza mabango ya Uraisi ya mkwere nchi nzima wakati wa kampeni za uchaguzi 2010
   
 5. kalagabaho

  kalagabaho JF-Expert Member

  #5
  Mar 2, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,279
  Likes Received: 2,073
  Trophy Points: 280
  we jidanganye tuu eti ana uchungu na wa tz wanaoteseka wakati mapande makubwa ya ulaji anatoa kwa wakeze! kweli mliolala mpo wengi
   
 6. CPU

  CPU JF Gold Member

  #6
  Mar 2, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  We kijana kupanda bei za bidhaa hakuleti vurugu??
  Dowans kulipwa mabilion ya mkataba feki hakuleti vurugu???
  Maisha kuwa magumu hakuleti vurugu??
   
 7. kalagabaho

  kalagabaho JF-Expert Member

  #7
  Mar 2, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,279
  Likes Received: 2,073
  Trophy Points: 280
  huyo SLAA ataishia kusuasua tu hawezi kutawala nchi hii kamwe!
   
 8. kalagabaho

  kalagabaho JF-Expert Member

  #8
  Mar 2, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,279
  Likes Received: 2,073
  Trophy Points: 280
  kuchukua wake za watu hakuleti vurugu?
   
 9. Johnsecond

  Johnsecond JF-Expert Member

  #9
  Mar 2, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 1,077
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hahahahaha mpaka mafua yawatoke na kuchukua nchi bongo tutatumia siku mbili au tatu tukifikisha ishirini kama misri sijui.
   
 10. n

  nyantella JF-Expert Member

  #10
  Mar 2, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 890
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  mara nyingi ana uchungu! what do you mean?
   
 11. T

  Tata JF-Expert Member

  #11
  Mar 2, 2011
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,732
  Likes Received: 647
  Trophy Points: 280
  Tatizo ni hii dozi anayotumia Dr. Slaa ya kuwaamsha watanganyika ili walinde vilivyo vyao kabla havijamalizwa na walafi wachache. Walikuwa wanaiamini ile dozi ya usingizi ambayo wamekuwa wakiwadunga wananchi kwa zaidi ya miaka hamsini iliyopita lakini sasa wanashangaa huyu daktari wa CHADEMA anaiondoa kwa muda mfupi kuliko walivyotarajia.
   
 12. H

  HM Hafif JF-Expert Member

  #12
  Mar 2, 2011
  Joined: Aug 16, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Padre Slaa kashindwa kuwakomboa kondoo wa Bw waliopotea kule KANISANI ataweza kuwakomboa wananchi wa TZ?

  Hakuna lolote zaidi kuiingiza nchi katika machafuko makubwa na mapambano ya wenyewe kwa wenyewe.
   
 13. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #13
  Mar 2, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Don't be mean
   
 14. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #14
  Mar 2, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,840
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  Na bado mpaka akubatize umpokee roho mtakatifu upate kumkiri kristu
   
 15. kweleakwelea

  kweleakwelea JF-Expert Member

  #15
  Mar 2, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 2,421
  Likes Received: 436
  Trophy Points: 180
  mimi namshangaa anayeogopa vita vyenye kulenga mabadiliko ya uchumi jamii kuleta unafuu kwa wengi!! rwanda walipigana sasa wanakula bata, uganda pia kuheshimiana kupo!!! ni kheri kuishi maisha mafupi mazuri kuliko marefu ya unyonge...vita ni vita muraaaa...chadema oyeee!
   
 16. Relief

  Relief JF-Expert Member

  #16
  Mar 2, 2011
  Joined: Aug 6, 2010
  Messages: 255
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hivi wewe naulizaga umetumwaga na nani??
   
 17. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #17
  Mar 2, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  hongera kwa kuwa watawala wote wa nchi hii watakaotawala umeshawajua!safi sana!kama huna uwezo huo basi wewe ni mjing..kulingana na kauli uliyoitoa!!
   
 18. S

  Salimia JF-Expert Member

  #18
  Mar 2, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 665
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Talk is cheap,, wewe unawasakizia wenzako,, ingependeza kuona unakuwa wa kwanza kuingia hiyo vita unayoiombea. Kitakachofuatia,, tukijaliwa kukuona ni pale unapotoka nduki ajabu kuwakimbia FFU watakapokuwa wameingiza timu.. Anza wewe kwanza tuone.
   
 19. d

  dotto JF-Expert Member

  #19
  Mar 2, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Rais aliyeogopa midahalo leo ataweza kuongoza???????????????????????????????
   
 20. Mo-TOWN

  Mo-TOWN JF-Expert Member

  #20
  Mar 2, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,626
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 160
  Need we say more! Well said Mkuu! BIG UP
   
Loading...