Mkandarasi aliyepewa zabuni ya kujenga barabara ya bagamoyo- msata yenye urefu wa km 64, ambayo ni kiungo muhimu kati ya dsm kwenda mikoa ya kaskazini kupitia bagamoyo sasa amefilisika rasmi, licha ya kulipwa malipo mengi yenye utata, yaliyomfanya mbia wake yaani JKT kushtuka na kujiondoa mapemakwenye ubia huo
mbia huyu mkorea, aliingia katika ubia mwingine wenye utata na kaka yake jakaya kikwete ambaye ni mkazi wa bagamoyo, ili kuficha ukweli ilibidi JKT kuingizwa kichwa kichwa ili kufunika kikombe mwanaharamu apite,
mashine za kusaga kokoto crushers za serikali zilikuwa huko mbeya, iringa nk tangu wakati wa uhuru zilingolewa kwa amri ya jk na kufungwa bagamoyo ili kumsaidia kaka yake jk aonekane kama potentila partiner ili yeye na mkorea waweze kuwachota vilivyo jeshi letu, na hatimaye kutokomea na mabilioni ya walipa kodi wa Tanzania bila hata kujenga mita moja ya lami.
Mh. jakaya kikwete amekuwa akikana mara nyingi kufanya biashara, lakini kwa hili tafadhali usingoje utoke ikulu ili tuanze kukukaba na maswali kama ya kiwira. ni vema wewe au wapambe wako mlizungumze hili mapema. isije ikawa yale mahekalu unayojenga pale msoga ni mtaji uliopata kupitia kwa mkorea na mpendwa kaka yako.