Mh. JK, baada ya EPA, Je na hili la TAKOPA halikuhusu?

Mwikimbi

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
1,762
825
Mkandarasi aliyepewa zabuni ya kujenga barabara ya bagamoyo- msata yenye urefu wa km 64, ambayo ni kiungo muhimu kati ya dsm kwenda mikoa ya kaskazini kupitia bagamoyo sasa amefilisika rasmi, licha ya kulipwa malipo mengi yenye utata, yaliyomfanya mbia wake yaani JKT kushtuka na kujiondoa mapemakwenye ubia huo

mbia huyu mkorea, aliingia katika ubia mwingine wenye utata na kaka yake jakaya kikwete ambaye ni mkazi wa bagamoyo, ili kuficha ukweli ilibidi JKT kuingizwa kichwa kichwa ili kufunika kikombe mwanaharamu apite,

mashine za kusaga kokoto crushers za serikali zilikuwa huko mbeya, iringa nk tangu wakati wa uhuru zilingolewa kwa amri ya jk na kufungwa bagamoyo ili kumsaidia kaka yake jk aonekane kama potentila partiner ili yeye na mkorea waweze kuwachota vilivyo jeshi letu, na hatimaye kutokomea na mabilioni ya walipa kodi wa Tanzania bila hata kujenga mita moja ya lami.

Mh. jakaya kikwete amekuwa akikana mara nyingi kufanya biashara, lakini kwa hili tafadhali usingoje utoke ikulu ili tuanze kukukaba na maswali kama ya kiwira. ni vema wewe au wapambe wako mlizungumze hili mapema. isije ikawa yale mahekalu unayojenga pale msoga ni mtaji uliopata kupitia kwa mkorea na mpendwa kaka yako.
 
JK amezoea vya kunyonga tumekwisha mzoea. I can gurantee you hahusiki kabisa, hata wanaochelewesha EL na RA kufukuzwa Chama Cha Majambazi hahusiki kabisa tena naambiwa alikuwa hayupo mkutanoni pengine mliona msukule tu.
 
You must be joking JK hakuwepo kwenye NEC,
hili la barabara ya msata bagamoyo kweli lina utata hata lilishawahi kuzungumzwa bungeni kama sikosei kwamba barabara imeanza kujengwa hata kabla ya bajeti yake kutengwa na kupitishwa na bunge
 
naona wageni wengi wako hapa, bila shaka ni akina UWT, kamwambieni kikwete sitaki kumwita JK,kwa kuwa Jk anaweza kuwa ni julius kambarage. zile crusher alizong'oa kule mbeya kumbeba kaka yake na mbia wake feki zinagharimu sana maintenance ya barabara mbeya, na iringa, sasa hivi kokoto za kujenga barabara mbeya zinatoka bagamoyo, na ukarabati wa bitumen roads umeongezeka gharama maradufu, arudishe zile mashine alizonunua Nyerere
 
Of course anakula gambe la ki fwedha..

TAKOPA jk uhusika wake unatokana na mdogo wake ,,,ambaye ndiye host aliyepewa dili la kuwakaribisha wakorea hapa tanzania...na kwa influence yake aliwaingiza SUMA jkt kwenye ubia na wakorea...

wanacholalamika wakorea ni kuwa hawa local partners walifuja pesa kwa kununua mitambo hafifu...yaani Suma ...na huyu bwana mdogo..hali iliyowasababisha wakorea kuingia gharama kununua mitambo upya au kukodi!!!

ni vema kama hawa wakorea wamekimbia basi wawatafute wenyeji wao ...pamoja na hayo ya udhaifu wa wabia wa TAKOPA pia kampuni yenyewe haikustahili kupata kazi hii muhimu...

umuhimu wa barabara ya msata pamoja na watu kutania kuwa inaenda nyumbani kwa mkulu...ni mkubwa..itasaidia kuwa na altenative get way or out from dar es salaam kwenda kanda ya kati,nyanda za juu na kaskazini...kiusalama itasaidia maana zamani daraja la ruvu palikuwa pakitokea ajali magari ya maeneo hayo yanakuwa paralysed....pia itasaidia kuondoa msongamano jijini!!!!...ni muhimu mchakato wa kupata kampuni mpya ufanyike haraka....kazi iendelee!!
 
hiyo barabara ni muhimu sana kusema ukweli, lakini ndiyo hivyo tena nchi yetu kupeana, uarabu wa pemba kwenda mbele, mdogo yupi wa mkulu aliyepewa hiyo tenda?
 
Mh. jakaya kikwete amekuwa akikana mara nyingi kufanya biashara, lakini kwa hili tafadhali usingoje utoke ikulu ili tuanze kukukaba na maswali kama ya kiwira. ni vema wewe au wapambe wako mlizungumze hili mapema. isije ikawa yale mahekalu unayojenga pale msoga ni mtaji uliopata kupitia kwa mkorea na mpendwa kaka yako.

kwa hili namtetea kidogo jk...siunajuwa mdogo wake naye ana uhuru wake..na infact alikuwa anatafuta pesa kidogo ya mboga tu...kwani yeye ndie humsaidia kaka yake kazi zake nyingi zisizo rasmi....hasa kuangalia expanded childrens ...and other family...amabao hawawezi kumuona mzee kutokana na itifaki...

pia kuna uwezekano kuwa hawa wakorea ni wasanii ...watoto wa mjini wakawaunganisha na bwana mdogo wa mzee mambo yakawa mswano...siunajuwa si kawaida pesa za barabara kubwa kama ile ziaze kulipwakwa mkandarasi bila bunge kuidhinisha...na sijui PPRA...walikuwa wapi,,,kama bunge walilalamika kurukwa ina maana hata hii tenda haikutangwazwa ..kiushindani!!
 
TAKOPA jk uhusika wake unatokana na mdogo wake ,,,ambaye ndiye host aliyepewa dili la kuwakaribisha wakorea hapa tanzania...na kwa influence yake aliwaingiza SUMA jkt kwenye ubia na wakorea...

wanacholalamika wakorea ni kuwa hawa local partners walifuja pesa kwa kununua mitambo hafifu...yaani Suma ...na huyu bwana mdogo..hali iliyowasababisha wakorea kuingia gharama kununua mitambo upya au kukodi!!!

ni vema kama hawa wakorea wamekimbia basi wawatafute wenyeji wao ...pamoja na hayo ya udhaifu wa wabia wa TAKOPA pia kampuni yenyewe haikustahili kupata kazi hii muhimu...

umuhimu wa barabara ya msata pamoja na watu kutania kuwa inaenda nyumbani kwa mkulu...ni mkubwa..itasaidia kuwa na altenative get way or out from dar es salaam kwenda kanda ya kati,nyanda za juu na kaskazini...kiusalama itasaidia maana zamani daraja la ruvu palikuwa pakitokea ajali magari ya maeneo hayo yanakuwa paralysed....pia itasaidia kuondoa msongamano jijini!!!!...ni muhimu mchakato wa kupata kampuni mpya ufanyike haraka....kazi iendelee!!

ahh wewe naye unaleta khabari nusu nusu

au ndio mbwembwe?
 
Nawasiwai ata nausajili wahiyo kampuni TAKOPA sijuhi kama korea waitambua, pili awa wakorea waukweli au wamewatoa manzese na kariakoo then wakapiga magumashi?
 
Of course, hawezi enda yeye ndio aka operate ma crusher Lugoba huko. If anything kajificha kwa nyma... eti through mdogo wake..lol Come one people lets not be naive.. Sema kwasababu hakuna ushaidi, basi tuseme presumption of innocence but that is entirely separate from kumsafisha mtu wakati kunadalili ya kakono ka Muungwana.
 
Tatizo kubwa la rais na watendaji wake ni kuto fikiria mbali na pia kudhani maendeleo yanakuja kwa maneno tu.
 
naona wageni wengi wako hapa, bila shaka ni akina UWT, kamwambieni kikwete sitaki kumwita JK,kwa kuwa Jk anaweza kuwa ni julius kambarage. zile crusher alizong'oa kule mbeya kumbeba kaka yake na mbia wake feki zinagharimu sana maintenance ya barabara mbeya, na iringa, sasa hivi kokoto za kujenga barabara mbeya zinatoka bagamoyo, na ukarabati wa bitumen roads umeongezeka gharama maradufu, arudishe zile mashine alizonunua Nyerere

Ndugu jaribu kufikiri kwa kutumia akili na si vinginevyo,toka lini rais wa nchi akanunua mashine za kutendea kazi serikalini?Inaonekana wewe shule hukwenda au kama umekwenda basi umepita tuu kama Sumaye.Nyerere hata mara moja hajajihusisha na ununuzi wa kitu chochote wakati yeye mwenyewe alikuwa anashangaa mabarubaru kutaka kukimbilia ikulu na kuuliza huko kuna biashara gani?Tafadhari andika kitu kilichokwenda shule ila kama unataka kuongeza post zako tuu hata kwa pumba endelea.Hapa ndio JF kwenye watu wenye bongo bwana,teh teh tee.
 
[/I][/B][/COLOR]
Ndugu jaribu kufikiri kwa kutumia akili na si vinginevyo,toka lini rais wa nchi akanunua mashine za kutendea kazi serikalini?Inaonekana wewe shule hukwenda au kama umekwenda basi umepita tuu kama Sumaye..

..sumaye kafanya nini tena.........!!
 
Wenyewe wanamwita KJ(Kubwa J..ga).

sumaye ukikaa naye anasema yote alikuwa akiakaziwa tu ...na wana mtandao...yaliyokuwa yakiandikwa juu yake ukiachia ukweli tu kuwa yeye anapenda kulima[na he is a good commercial farmer]..tangu akiwa mbunge..analima sana..ngano na shayiri pia kufuga kama asili yao...mengine anasema ni fitna tu za mtandawo....na hata alikuwa mtu pekee aliyeenda mahakamani kuomba kusafishwa..na akasafishwa[yaani tuhuma dhidi yake hazikuzibitiswa]....lile gazeti lililokuwa likitumika kumchafua ..likafa...na wahariri wakamuomba radhi hadharani pale maelezo.....

sumaye anaweza kuwa na madhaifu yake ..lakini mengi yalikuwa yanakuzwa......kumbuka usemi wake..."anayetumia kalamu kuingia madarakani ...atatumia "mtutu wa bunduki"..kusalia madarakani..."".....

siasa za kuelekea 2005 zilikuwa na vidonda vingi ambavyo vinasababisha hadi sasa chama na serikali wabakie kujikuna....navyo!!
 
"......tutaangalia uwezekano kupitia upya sheria yetu ya maadili ya viongozi na uwezekano wa kutenganisha siasa na biashara...." (JK). Haya tutasikia mengi.
 
[/I][/B][/COLOR]
Ndugu jaribu kufikiri kwa kutumia akili na si vinginevyo,toka lini rais wa nchi akanunua mashine za kutendea kazi serikalini?Inaonekana wewe shule hukwenda au kama umekwenda basi umepita tuu kama Sumaye.Nyerere hata mara moja hajajihusisha na ununuzi wa kitu chochote wakati yeye mwenyewe alikuwa anashangaa mabarubaru kutaka kukimbilia ikulu na kuuliza huko kuna biashara gani?Tafadhari andika kitu kilichokwenda shule ila kama unataka kuongeza post zako tuu hata kwa pumba endelea. Hapa ndio JF kwenye watu wenye bongo bwana,teh teh tee.
Siamini kama umeshirikisha akili yako kuandika haya. Wakati fulani jina la rais linatumika kuwakilisha serikali yake.
 
Back
Top Bottom