Mh JK ACHA TABIA YA KUBEBANA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh JK ACHA TABIA YA KUBEBANA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mwanatanu, Jan 25, 2008.

 1. mwanatanu

  mwanatanu JF-Expert Member

  #1
  Jan 25, 2008
  Joined: Jan 22, 2008
  Messages: 850
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  Naamini Mh JK kama kweli ana advisor wazalendo basi huu ni wakati muafaka wa JK kuwafukuza kazi Karamagi,Mramba,Meghji yaani hawa ni baadhi tu ya mawaziri wazembe.Hizo wizara zimemezwa na mafisadi wanatia kichefuchefu...JK sijui ni kipofu au kiziwi jamani..leo nimesikia wale walaji wa bandarini TICTS wanaongezewa lease lo tutafika kweli.I bet Karamagi ana 10% yake....i hope JK ana wale chokoraa wake wana visit hii JF na ku pass kilio chetu walala hoi.
   
 2. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #2
  Jan 25, 2008
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Issue ni kwamba JK hana uwezo wa kuwafukuza hao wote, hawafukuziki. Hapo anayefukuzika ni Meghji tu, hao wengine ni visiki, na visiki having'olewi kwa jembe.
  Lakini wewe mwanatanu unashangaza sana kuwaita hao watu wazembe, hii sio Tanu ni CCM mtandao, na hao jamaa sio wazembe hata kidogo, ni watu makini kwenye wanayofanya na ndio maana wamewekwa kwenye list ya ufisadi. Hao ni mafisadi sio wazembe kama wewe unavyodhani
   
 3. Bubu Msemaovyo

  Bubu Msemaovyo JF-Expert Member

  #3
  Jan 25, 2008
  Joined: May 9, 2007
  Messages: 3,436
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Hata kwa shoka hawang'oki ng'ooooo mwenye kuwang'a hao ni Mwenyezi Mungu. Mfano halisi ni Kingunge, tangu nazaliwa jina la kingunge sasa umri ndo hivyo kingunge ikulu jamani why vingunge hadi meno yanawatoka midomoni bado mpo tu mnawasiwasi gani mkiachia madaraka yenu?????
   
 4. k

  kjon Member

  #4
  Jan 25, 2008
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Mwanatanu na Bubu msemaovyo naomba muelewe kwamba hawa watu hawakuanza jana, ni kwamba hata madaraka ya nchi yanakwenda kwa urithi. Hivyo kama ni mzee au babu alishakuwa madarakani basi ni wazi hata wewe watakutafutia mahali pazuri ili ule.
   
 5. M

  Mitomingi Senior Member

  #5
  Jan 25, 2008
  Joined: Jan 15, 2008
  Messages: 130
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mwanatanu anaujua ukweli bwana anatudhuhaki hapa .
   
 6. mwanatanu

  mwanatanu JF-Expert Member

  #6
  Jan 25, 2008
  Joined: Jan 22, 2008
  Messages: 850
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  Mitomingi kitu kiitwacho dhana ndio imetufanya dhalili sana sie watu wa bara la Afrika..where is your sense of patriotism? wananchi wanakereketwa na wanatoa hoja nzito we unakuja na nosense comments....c'mon wake up leta hoja na hopeful one day things will change for better
   
 7. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #7
  Jan 25, 2008
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,690
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Mwanatanu,

  Hakika wewe ni kipofu!!! issue ya TICTS na extension ya Mkataba ilishafanyika zamani na kwa sasa mkataba umeshashika vumbi la hali ya juu, na ukitaka kuupata lazima utoe maziwa kwa mtunza masijala...

  Sasa unavyotuambia ndio umesikia kwamba lease ina-be extended... unatushangaza...
   
 8. Nyangumi

  Nyangumi JF-Expert Member

  #8
  Jan 25, 2008
  Joined: Jan 4, 2007
  Messages: 508
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi inakuwaje nyie Watanzania mnamwona JK ni msafi??Huyu JK ni mjeuri,mwenye kiburi na dharau kwa Watanzania,zaidi ya yote ni mwizi.Kwa ujumla hana time na wabongo.Nashangaa mnapojaribu kujipendekeza ili kumwonyesha yeye hana tatizo!!Kwa kifupi yeye ndo tatizo na 1 kwa Nchi hii.
   
 9. M

  Masikini Jeuri Member

  #9
  Jan 30, 2008
  Joined: Jan 13, 2008
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Acha Awabebe Tu, Lakini Siku Zao Zinahesabika, Mzigo Huu Mzito Na Matokeo Yake Ajitayarishe. Ikulu Itamuwia Chungu.
   
 10. Geeque

  Geeque JF-Expert Member

  #10
  Jan 30, 2008
  Joined: Aug 17, 2007
  Messages: 848
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Mimi nadhani imefika wakati tusiwalaumu sana washauri wa JK, Hata kama JK ana washauri ambao ni wazalendo, hakuna chochote kitakachofanyika ikiwa yeye mwenyewe JK sio Mzalendo. Mpaka hivi sasa tumeona Kikwete ni mtu wa aina gani, Huyu Rais ni FISADI, JAMBAZI na zaidi ya yote asiyejali maslahi ya nchi yetu.
   
 11. M

  Masikini Jeuri Member

  #11
  Jan 31, 2008
  Joined: Jan 13, 2008
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Haswa anajijua yeye tu na watu wake, ikifika karibia na uchaguzi anawatupia watu fulana za sisiemu na upande wa kanga ili achaguliwe tena.
   
Loading...