Mh January Makamba alipokutana na Wazee waTanzania huko USA

Sasa hao wazee? unajuwa wazee lakini au unajisemea tu? ikiwa hao ni wazee hawa utasemaje?

attachment.php
 
Kwa uzoefu wangu niliokuwa nao kwa watu waishio Marekani si wa kuswagwa kama mbuzi, labda waishio bara la Ulaya. Marekani wanahesabu masaa watakayokaa hapo watalipwa au la, vinginevyo wanaendelea na yao, maana vikao hivyo wala havitawapunguzia machungu ya monthly bills. Bora kwenda kupiga box kuliko kumsikiliza Januari.

Hawa walio wengi ni watoto au kutoka familia za vibosile wa kule Lumumba.
 
umeona eeehe? sio kama sisi kila ni sikukuu, ni sherehe, mukulu wetu kila kukicha yupo ughaibuni, anatembeza bakuri kubwa ili tupate mkate wa kila siku, bongo anarudi kubadili suti.
 
Back
Top Bottom