Mh James Mbatia upo wapi njoo utetehe Elimu yetu

Askari Muoga

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
6,113
4,645
Mh james Mbatia ni mmoja wa mwanaharakati katika kutetea ELIMU YETU YA TANZANIA TUNAKUOMBA UJITOKEZE USEME KITU MAANa elimu inaelekea kuzimu sasa mara wasivae majoho mara hakuna degree bila kupitia six dah njoo utoe neno
 
Kalazwa India. Haja yake ilikuwa kupata jimbo la Vunjo tu. Kwa sasa hawezi tena kutetea maslahi mapqna ya Mama Tanzania
 
Atume hata audio au clip.
Sasa unafikiria hayo maajabu yapo Ukawa ? Maajabu hayo alifanya Magufuli alipowasiliana na Kigoda akiwa ICU ,sijui waliwasiliana vipi kama vipi ongea na jamaa ampe maujanja Mbatia ya kutuma clip huku akiwa mgonjwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom