Mh. James Mbatia(Mb) atoa neno la shukrani

MZK

JF-Expert Member
Sep 13, 2012
236
306
MBATIA-NA-LOWASA-660x400.jpg

Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia amewashukuru watu mbalimbali ambao wamekuwa wakimfariji wakati akiendelea na matibabu ya mguu unaomsumbua.

Akizungumza jana nyumbani kwake Mbezi Beach jijini hapa, Mbatia alisema kumekuwa na minong’ono kuwa anaumwa ugonjwa ambao hautibiki.

Hata hivyo, alisema anaendelea vizuri na kwamba wakati wowote anaweza kuanza kuendelea na majukumu yake kama kawaida.

“Mtu akifa watu wanalia na kulalamika lakini baada ya kuzika kila mtu ananawa mikono na ataelekea anakokujua, lakini rafiki wa kweli anafahamika wakati wa shida hapo ndiyo unajua kwamba hata siku usipokuwa dunia watoto, mke na ndugu hao ndiyo watawajulia hali,” alisema Mbatia
 
Pole sana James Mbatia..

Mungu aendelee kukupigania upone uwe OK kabisa..

Mh wala hatujakuangusha maana wewe ni mtetezi mkubwa sana wa Elimu ya Tanzania.. Tupo kwa sasa tunapambana na Mhalifu mmoja wa Taaluma mwenye nafasi ya Ukuu wa Mkoa kwa jina Paul Makonda.

Hili Paul Makonda kumbe ni jina la wizi baada ya kununua cheti cha form4, jina lake kamili ni Daudi Albert Bashite.

Sipati picha kama ungekuwa mzima moto ambao ungeuwasha!!
 
MBATIA-NA-LOWASA-660x400.jpg

Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia amewashukuru watu mbalimbali ambao wamekuwa wakimfariji wakati akiendelea na matibabu ya mguu unaomsumbua.

Akizungumza jana nyumbani kwake Mbezi Beach jijini hapa, Mbatia alisema kumekuwa na minong’ono kuwa anaumwa ugonjwa ambao hautibiki.

Hata hivyo, alisema anaendelea vizuri na kwamba wakati wowote anaweza kuanza kuendelea na majukumu yake kama kawaida.

“Mtu akifa watu wanalia na kulalamika lakini baada ya kuzika kila mtu ananawa mikono na ataelekea anakokujua, lakini rafiki wa kweli anafahamika wakati wa shida hapo ndiyo unajua kwamba hata siku usipokuwa dunia watoto, mke na ndugu hao ndiyo watawajulia hali,” alisema Mbatia
Maradhi ni kama kofi la kukushtua juu ya uwepo wa muumba, na nguvu yake juu ya hatma yetu, ktk heri na shari!
Nikitamani jua kama ex-mp, mzawa wa kiraracha alifika kukujulia hali!
 
Tulikuambia.. Chawema sio watu..kwanza hapo walitamani ufe kabisa maana nccr umelala nayo hapo..haisikiki kabisa na mfuasi wako wamekuchukulia
 
MBATIA-NA-LOWASA-660x400.jpg

Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia amewashukuru watu mbalimbali ambao wamekuwa wakimfariji wakati akiendelea na matibabu ya mguu unaomsumbua.

Akizungumza jana nyumbani kwake Mbezi Beach jijini hapa, Mbatia alisema kumekuwa na minong’ono kuwa anaumwa ugonjwa ambao hautibiki.

Hata hivyo, alisema anaendelea vizuri na kwamba wakati wowote anaweza kuanza kuendelea na majukumu yake kama kawaida.

“Mtu akifa watu wanalia na kulalamika lakini baada ya kuzika kila mtu ananawa mikono na ataelekea anakokujua, lakini rafiki wa kweli anafahamika wakati wa shida hapo ndiyo unajua kwamba hata siku usipokuwa dunia watoto, mke na ndugu hao ndiyo watawajulia hali,” alisema Mbatia
Kamanda Mungu akutie nguvu sana. Tumekumiss kwa kipindi lakini tumekuwa tukikuombea sana
 
Mungu amponye Mh.Mbatia..Mungu ampe uponyaji wa mwili na roho...huwaponya waliopondeka moyo na kuziganga jeraha zao..Zab147:3
 
Tunakutakia upone haraka, sababu mchango wako Bungeni ni muhimu sana
 
Back
Top Bottom