Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 50,956
- 22,148
"binafsi ningeomba cv yake
ingawa si mzuri sana kwenye sheria lakini watanzania wengi naona wamekaa kimya na haka kajamaa ""üpelelezi aujakamilika"" kikiwatesa kwa kula hela za watu hata kama mtu ana kesi mahakamani..mh jaji mkuu ni kweli wapo wengi waliopita kama wewe wakija na dhana ya kuhakikisha kesi inaisha mapema na watu wanahukumiwa lakini wameishia kufa na wengine kungatuka bila utekelezaji wowote....
Leo hii nilikuwa mahakamani pale mahakam kuu kwa kweli nimecheka sana ingawa binafsi nawashukuru baadhi ya walioshiriki ktk kumsaidia kesi ya kubambikiziwa kaka yangu iliomfanya kupoteza ajira na leo akiwa huru baada ya miaka miwili..kuwa ndani bila kesi kutolewa hukumu..hakika ni kaka kwa upande wa jiran lakiini nimekuwa nikichuku jukumu lile kwa nguvu zote nikiamini ufalme wa mungu utakuwa kwangu siku moja
mh jaji mahakimu wengi wamekuwa wakiwachezea wateja wao wakishirikiana na mapolisi kwa kutangaza upeelelezi aujamalizikka..haka kajamaa
upelelezi ni nani??
Anaishi wapi??
Na amesoma mpaka wapi???
Sidhan atakuwa amekushinda na elimu yako mh jaji mkuu hata kama umekaa kitini kwa kupewa ama kujuana lakini naamini elimu yako imechangia..sasa ni wazi tunaomba hii mianya ya rushwa ifike sehemu mseme basi mahakamani jamani hii ni aibu kubwa watu wanateseka sana sana..hiyo kesi waliliwa sana kabla ya kupata mwongozo na kufikia baadhi ya mashirika kuisimamia..hii aibu naomba mh jaji mkuu ukiwa na mkeo na watoto wako mkiangalia tv embu jifikirien ama omben mungu usiku mwote mnapelekwa segerea ndani ya gari ya ccm..na huku mkijua amkutenda kosa hilo...embu chukulien mara mbilimbli
wanasheria nao hivi sasa wameanza kuwa wahuni kwa kushirikiana na mahakimu kudai kesi ngumu sana inaitaji kiasi kadhaa duuh jamani kweli nyie watetezi tutafika
alberto tudaidien kwa hili sheri inasemaje mtu akikamatwa na kushtakiwa...hawa wanaokaa miaka miwili mitatu wanawekwa kwakuwa wahudumu wa jela n wachche then watumike ama...
Ewe mungu wa rehema mjaza neema ndogo na kubwaa ahsante kwa kumpa cheo hiki jaji wetu mkuu ili aweze kusikiliza malalamiko na shida za watanzania wote bila kujali dar es salaam pekee ..eee mungu naomba umpe nguvu ya kuondoa uozo wote bila kujali alisoma nae sharobaro high school kupitia jina lako tunaomba adhabu ya dunia iwaangukie wote majaji na mahakimu wanaopindisha sheria kwa kuwaweka watu mahabusi zaidi ya muda unaotakiwa na pengine raha ya mauti uwaanggazie ee bwana na moto wa milele walale nao kwa amani
amen
wasaalam
app-pdidy