Mh. Jaji Matheka: Wanawake walioolewa na mda wote wanafanyakazi za nyumbani ni waajiriwa wasijihesabu kuwa hawana ajira

comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
8,210
5,935
UPDATE: High Court judge Teresia Matheka declares being a housewife a full-time job, says housewives offer payable services at home and should not regard themselves as jobless.
242806182_1446359485784245_7064533777863163559_n.jpg
 
Jidanganyeni sasa Tena walio naakili mbili wafuate hili waone..

Kuna wadada wengine wanalilia ndoa wafanye hata hizo kazi za nyumbani,waliokwenye ndoa sasa wanavyowadanganya wenzao! Hapo unakuta ye anafanya hizo kazi vizuri tu..😅
 
Back
Top Bottom