Mh. Halima Mdee arudi kwa kasi ya 4G!

majebsmafuru

JF-Expert Member
May 1, 2017
452
624
Hapa akizungumza mapato na matumizi ya Serikali...
Je walio madarakani watarekebisha ya maaana?!
"Mkitaka ushahidi tuna taarifa" -Halima Mdee via YouTube

Hapa akiongea kuhusu chachu za Kilimo..
Bajeti ya Maendeleo..
HALIMA MDEE NOMA: ANAONGEA POINTS TUPU BUNGENI via YouTube

Mwisho akiwapasha ukweli kuhusu Fedha za Halmashauri..
Hizi pointi zote muhimu, sijaelewa kwanini hata CCM hawakubaliani naye
HALIMA MDEE AWASHA MOTO MAPATO YA HALMASHAURI via YouTube
 
Mwezi April utakua na vitimbi sana kisiasa, naona 01 itagubikwaa na sarakasi za kila aina, hapo sijaongelea 26 April.
 
Back
Top Bottom